Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

Huu uzi umenipa mwanga, hata mimi nina mpango wa kununua mashamba huko kusini ili nilome zao hili. Hii ni moja ya ndoto zangu.
 
Koroshi zimedoda!!
Kilimo cha Tanzania tatizo hakieleweki inabidi kujilipua tu hivo hivo, mfano mzuri mwaka jana na mwaka huu nasikia bei ya korosho ni nzuri, week ilopita kwenye mnada kilo imefika Tsh 3850, mtu unaweza fanya investment ukitegemea bei itakuwa nzuri mwisho wa siku unaweza shangaa bei imefika 1000 tuki refer kwa yaliyowatokea watu wa mbaazi, kilimo kwa nchini kwetu ni kujilipua tu. Nimepita Lindi huku karibia wilaya zote aise wale waliopanda Mbaazi wakitegemea soko zuri wengi wameziacha shambani bila kuvuna sababu ya price kubadilika.
 
Nenda kunako mikoa ya kusini
Unajua bei ya msimu huu ya raw cashe ni tzs 1.450 na mnada wa kwanza ijumaa iliyopita kilo imeuzwa 5.000 unajua hilo?
Unajua ubora wa cashew ya Tanzania?
 
Unajua bei ya msimu huu ya raw cashe ni tzs 1.450 na mnada wa kwanza ijumaa iliyopita kilo imeuzwa 5.000 unajua hilo?
Unajua ubora wa cashew ya Tanzania?
Punguza maswali tupia data. Tumia direct speech (ni ushauri tu)
 
Ndio hivyo sasa, usiseme zimedoda tu wakati msimu ndio umeanza
Nisingependa kuwaharibia wajasiriamali biashara zao, ndio maana nachele kusema imedoda! Hukawii kusikia matamko kutoka kwa wakuu wa wilaya.
 
Nenda vijiji vya Newala na Tandahimba Ndio zao la korosho linamea Sana tofauti na Lindi.

Shamba inategemea kununua pori heka moja Laki nane mpk million na inaweza kuzidi heka kidogo. Heka moja unaweza Panda mikorosho 20.

Miche inapandwa kipindi cha mvua kuanzia miaka mitatu utaanza kuvuna.
 
Tuko kwenye mavuno
IMG_20170919_111442.jpg
IMG_20170919_094345.jpg
 
Back
Top Bottom