Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Kwamfano utasoma sehem unaambiwa jamii flani ya kale iliishi kati ya miaka 2137 kabla kristo.
Unabaki ukijiuliza, habari hii ni nani alie thibitisha?

Binafsi nikisoma habari aina hiyo, huwa naipuuza na kuiona ni sawa na matango pori.
Ungesoma radioactivity hivi vitu visingekushangaza ungeelewa.
Sasa mtu hata hujuwi hata isotopes ni nini utaweza kuelewa? Shida watanzania ujuaji mwingi maeneo ya watu mnaonekana mazwazwa
 
Hizi nazo ni story tu kama story nyingine, ambazo hazifati utaratibu wa Kisayansi.

Naomba utuelezee hili jambo kwa kufata hatua za Kisayansi mpaka wakafikia hitimisho hilo.

Sababu hizo picha ulizo tuwekea zinaonekana ni picha bunifu tu kwa kutumia software husika.

Unaweza kututhibitishia ukweli wa haya uliyo tuwekea ?
 
Yas kila kitu kinazunguka, the universe is in motion.

Hiyo ni lazima ili muda uendelee kuwepo. Kitu kikitulia tuli kinakuwa hakina muda na ndio kinakuwa hakipo!!! Lazima ujongeee tu bro
Muda unahitaji nafasi na uwepo tu, sababu muda haufubgamani na kitu chochote isipokuwa mwendo wa jua tu.

Sasa unaposema kitu kikiwa tuli kinakuwa hakina muda vipi wakati muda upo nje ya kitu husika ?
 
According na hiki ulicho elezea naomba nikuulize je unaelewa nini kuhusu mfumo wa Heliocentric na Geocentric?? 😎🤝🏽
Baada ya kuingia google kudadavua nimegundua kumbe bado kuna walakini juu ya mambo tunayofundishwa.

 
Wewe unathibitishaje kama hayo unayo ambiwa au kuyadikia ni kweli yamefanyika ?

Tuanziw hapo.
 
Shida watu huwa hawatumii akili kutafakari hayo wanayo letewa, na Hawa wanayo yaleta wamshajua ya kuwa wazi watu huwa hawahoji mambo.

Lakini kama mtu unamtumia akili na kuhoji Sayansi zaidi ya asilimia 70 ni uongo mtupu hasa Sayansi ya anga na Sayansi ya mambo ya tiba.
 
Kama ni CGI kwanini unazileta kama mfano wa kuelezea jambo lako ? Huoni kama unaendelea kueneza uongo na ukweli hauko nao ?
Una amini kuwa kuna Subtomic particles (Neutron, proton, Electron)
 
Haya sasa, yale yalee!
Sayans ya mambo ya anga me sijawahi kuielewa, naona kama tunalishana matango poli tu. Mfano mzuri kwenye swala la umbo la Dunia yetu, wapo wanaosema tufe na wengine flat.
Mambo ya anga n complicated, Ila Binafsi nikipewa sababu za kueleweka hua nakubali ht kama sina ufahamu wa hicho kitu.
Sasa hawa ndugu zetu wa dunia ni tambarare, point yao mojawapo ety n bendera ya un kuonyesha dunia n flat 😂 yn h sababu hua inanifanya nicheke sana 😂
 
Elimu ya anga ni tamu sana😋
 
Yaani kitu ambacho sijawahi kuamini ni kwamba neurones za mtu mmoja ukiziunganisha zote zinaweza kuzunguka dunia nzimaa
Hii niliwahi kukutana nayo huko mtandaoni, nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiii kivumbi 😂 bc neurones za watu wote duniani zinaweza kujaza sayari zote na jua na chenchi inabaki
 
Tena Wanatufanya watoto
Kama ambavyo ukifunguliwa simu halafu uambiwe uchambue kifaa kimoja kimoja kuanzia kilivyotengenezwa hadi kikafanya kazi na wewe ukaishia kusema hizi ni fani za watu. Ndivyo ilivyo elimu ya anga.

Kuna taasisi zimededicate muda wao wote miaka na miaka wanafuatilia haya mambo. Tangu enzi zile Galileo analikanusha kanisa katoliki kwa kuwaambia sio jua linazunguka dunia ila dunia ndio inazunguka jua. Na leo tumefikia hapa.
 
hapa vichwa panzi mada kama hizi wanakaa kuuleeee hawaelewi wauni😂😂😂 waite Free ideas Kiranga @monsagala na magenious wengineo
Utalewa vipi kitu hujawahi kukifanyia practical wewe mwenyew Bali umekarrishwa na watu.na Bado wenyewe wanabishana?

Hii bahari tu hata theruthi yake Bado hawajaijua iwe vitu vya Nje na Dunia?

Hao wote hao unaowaona wanajua wamekalilishwa tu hakuna aliyeenda kufanya practice mwezini nk.
 
Muda unahitaji nafasi na uwepo tu, sababu muda haufubgamani na kitu chochote isipokuwa mwendo wa jua tu.

Sasa unaposema kitu kikiwa tuli kinakuwa hakina muda vipi wakati muda upo nje ya kitu husika ?
Kwetu sisi watu wa duniya tunapima muda kwa kulinganisha mzunguko wetu kama dunia na mzunguko kwa jua.

Sayari nyingine nazo zina muda wake ndio maana siku na mwaka wa Mars so sawa na siku na mwaka wa Neptune.

Kuhusu muda, muda ni matokeo ya mabadiliko na michakato. Bila mabadiliko wala michakato hakuna muda kabisa!

Muvi zimecheza kuwaweka watu katika cryosleep kwa kuwabaridisha kiasi ambacho hakuna mchakato unaoendelea miilini mwao na ni kweli, wakija kuamka huwa kwao binafsi muda haukuwepo, hawajazeeka wala nn. Lakini pia katika hadith wapo watu waliolazwa usingizi pangoni wakaamka muda haujapita ki kwao! Watakuja kukubali muda umepita watakapoona na kusimuliwa mabadiliko.

Ulimwengu pia sio wa kipekee, unageuka na kubadilika na kukua na ndio muda unaendelea kuwepo. Ulimwengu mzima ukitulia tuli na kila gimba kila electroni, kila kipande cha atomu na miale ikatulia tuli kama ilivyo. Basi muda hautapita hadi ianze tena kusonga. Mabadiliko ndio hutokeza athari ya muda, muda-michakato bwana Kisai
 
Si

Jibu kwanza swali nililo kuuliza.
Vifaa vinadetect changes kisha wanafanya Calculation hivyo ili watu waelewe vzr AI inafanya Simulation. Ukitaka picha halisi ya kila kitu basi hutaamini vitu vingi, hakuna picha halisi ya Movement ya atom na particles zake,hakuna picha halisi ya movement ya sound waves, hakuna picha halisi ya movement ya electrical na magnetical charges. Vitu vingi havina picha halisi ni calculation tu kisha AI inasaidia kuelewa movement zake
 
Katika Galaxy la Milk way, solar system yetu inazunguka Kuelekea kati au nje?

Nini kitatokea tukifika kati au andromela na milk way zikikutana?
Mlipuko ambao hujawahi kuwazia boooooooonge la mlipuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…