Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Jiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni.

Ndio maana utakuta ukuta wa jiko pamoja na ceiling vinabadilika rangi na kuwa na rangi kama ya kuungua huku anayepika akitokwa jasho na kupenga makamasi mara kwa mara, hii ni kwasababu hewa nzito ya joto, mvuke, harufu ya gas nk kubaki humo humo jikoni.
 
Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetu
 
Chimney ni old fashion now ni air vent za umeme tu.
 
Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetu
Mkuu, dirisha ni kwa ajili ya air circulation, sio direction. Ndio maana ukifungua dirisha unaona upepo unatoka nje unaingia ndani.
 
Msingi uliotumia tofali 1500 katika eneo tambalale, msingi huohuo ukitaka kuujenga ktk eneo lenye slope unaweza kutumia tofali 2300 au zaidi kulingana na ukali wa slope.
Unaweza kupunguza idadi ya tofali kwa njia tatu: 1. Unalevel eneo la kujenga nyumba kwanza ikiwa slope siyo kali sana 2. Unatumia msingi wenye steps. 3. unafanya steps levelling ya eneo la kujenga nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…