Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni.Boss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.
Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetuJiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni. Ndio maana utakuta ukuta wa jiko pamoja na ceiling vinabadilika rangi na kuwa na rangi kama ya kuungua huku anayepika akitokwa jasho na kupenga makamasi mara kwa mara, hii ni kwasababu hewa nzito ya joto, mvuke, harufu ya gas nk kubaki humo humo jikoni.
Ndio MkuuHuduma hii ya fundi mahiri hata mikoani unaipeleka?
Chimney ni old fashion now ni air vent za umeme tu.Jiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni. Ndio maana utakuta ukuta wa jiko pamoja na ceiling vinabadilika rangi na kuwa na rangi kama ya kuungua huku anayepika akitokwa jasho na kupenga makamasi mara kwa mara, hii ni kwasababu hewa nzito ya joto, mvuke, harufu ya gas nk kubaki humo humo jikoni.
Air vent za umeme kwa mantiki hiyo zinatumia umeme?Chimney ni old fashion now ni air vent za umeme tu.
Mkuu, dirisha ni kwa ajili ya air circulation, sio direction. Ndio maana ukifungua dirisha unaona upepo unatoka nje unaingia ndani.Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetu
Naomba ufafanuzi km dirisha linaweza kua mbadala wa dohani?Mkuu, dirisha ni kwa ajili ya air circulation, sio direction. Ndio maana ukifungua dirisha unaona upepo unatoka nje unaingia ndani.
Air vent za umeme kwa mantiki hiyo zinatumia umeme?
Hakuna ambazo zinatumia upepo kupunguza gharama ya umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna air vent za kutumia nguvu ya upepo?View attachment 1014054
Air vent hood hiyo hapo, inauweza wa kuvuta hewa chafu yote iliyo ndani ya chumba cha jiko. Chimney hapo ya kazi gani tena!?.
Boss hilo sifahamu.
Tujadili
👏👏👏
Naomba kujua mchanga tani 4 unawezajengea tofali(5") ngapi za cement ukuta?Tujadili
Unaweza kupunguza idadi ya tofali kwa njia tatu: 1. Unalevel eneo la kujenga nyumba kwanza ikiwa slope siyo kali sana 2. Unatumia msingi wenye steps. 3. unafanya steps levelling ya eneo la kujenga nyumba.Msingi uliotumia tofali 1500 katika eneo tambalale, msingi huohuo ukitaka kuujenga ktk eneo lenye slope unaweza kutumia tofali 2300 au zaidi kulingana na ukali wa slope.
Hizo tofali ni interlocking...hollow blocks ama za kawaida 'plane for all sides'?Naomba kujua mchanga tani 4 unawezajengea tofali(5") ngapi za cement ukuta?
Sent using Jamii Forums mobile app