Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Boss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.
Jiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni.

Ndio maana utakuta ukuta wa jiko pamoja na ceiling vinabadilika rangi na kuwa na rangi kama ya kuungua huku anayepika akitokwa jasho na kupenga makamasi mara kwa mara, hii ni kwasababu hewa nzito ya joto, mvuke, harufu ya gas nk kubaki humo humo jikoni.
 
Jiko lolote lile, haijalishi unatumia umeme, gas, mchina, chimney ni muhimu. Moshi/joto kutoka kwenye jiko, moshi/mvuke kutoka kwenye chakula vinahitaji njia ya kuvitoa nje, badala ya kusambaa jikoni. Ndio maana utakuta ukuta wa jiko pamoja na ceiling vinabadilika rangi na kuwa na rangi kama ya kuungua huku anayepika akitokwa jasho na kupenga makamasi mara kwa mara, hii ni kwasababu hewa nzito ya joto, mvuke, harufu ya gas nk kubaki humo humo jikoni.
Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetu
 
Chimney ni old fashion now ni air vent za umeme tu.
 
Hili jiko linajengwa kama yai, linakuwa halina madirisha sio?Kama mkeo anatoa kamasi jikoni ni yeye, usiwahusishe wake zetu
Mkuu, dirisha ni kwa ajili ya air circulation, sio direction. Ndio maana ukifungua dirisha unaona upepo unatoka nje unaingia ndani.
 
Air vent za umeme kwa mantiki hiyo zinatumia umeme?
Hakuna ambazo zinatumia upepo kupunguza gharama ya umeme?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2019-02-05-13-24-38.jpg
Air vent hood hiyo hapo, inauweza wa kuvuta hewa chafu yote iliyo ndani ya chumba cha jiko. Chimney hapo ya kazi gani tena!?.
 
Msingi uliotumia tofali 1500 katika eneo tambalale, msingi huohuo ukitaka kuujenga ktk eneo lenye slope unaweza kutumia tofali 2300 au zaidi kulingana na ukali wa slope.
Unaweza kupunguza idadi ya tofali kwa njia tatu: 1. Unalevel eneo la kujenga nyumba kwanza ikiwa slope siyo kali sana 2. Unatumia msingi wenye steps. 3. unafanya steps levelling ya eneo la kujenga nyumba.
 
Back
Top Bottom