Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Sio kwamba ana sahau , ana jua vizuri sana , but shida ni kwamba wanawake ndio viumbe vinavyo ongoza Kwa kuwa na rate kubwa ya ubinafsi
 
Na akianza kulisha mfano tu anunue hata gunia la mchele kukusaidia jua tu ataanza kukudharau

Kiufupi uwe makini kwenye machaguzi kama una mpango wa kuoa epuka mwanamke mchoyo

Na oa mwanamke anayekupenda sio wewe unaempenda
Well said, para ya mwisho umesema sahihi kabisa
 
Kikubwa wote mkutane wacha Mungu. Mcha Mungu yeyote atajua ni ipi nafasi yake katika familia na ataitendea haki. Atakuwa tayari kusimama kwenye nafasi yake hiyo na kutekeleza majukumu yake. "Kichwa cha kila mwanamke ni mwanamume na kichwa cha mwanamume ni Kristo." 1WAKORINTHO 11:3


JESUS IS CHRIST!
 
Ni bahati tu kupata mke anayejitambua na akakuheshimu, kwasasa awe msomi au hajasoma sidhani kama nisababu ya wewe kuheshimu.
 
Naona hasara nyingi kuliko faida
 
Acheni woga nyie wanaume!!!!!
 
Kwa sasa wamenyoka! Hawana jeuri hiyo.
Kibaya tu ni mwanaume kukaa bila kazi,hata kama huna ajira jishughulishe.
 
Owa anae endana na wewe kitabia, kwa maana (tabia nzuri) na mwenye hofu ya Mungu. Wasomi kama wasomi wengi wao wanatabia mbaya, malaya, kiburi, kujiona anazo kichwani na kumpanda kichwani mmewe.


Tusiwasemee tuu wanawake, na wanamme vile vile wengi wao wanatabia mbovu, wanachepuka nje, wanawatesa wake zao, awana hofu na Mungu.
 
That’s it… maana wachangiaji wanaowaponda wanawake wasomi basi wasisomeshe mabinti zao ili falsafa zao za wanawake ambao hawajasoma ndo wake bora iendelee na kwa vizazi vyao
Eti kuna mtu anasema mtoto wa kike mwisho form 4 basi![emoji1]
 
Juz wa kwangu mtoto analia anataka maji ananiambia mpe mtoto maj m nimechoka...dah usiku ule stimu zilikata kabisaaa
Mkuu hii nayo ukaona kesi? Mtoto wako unaona issue kumpa maji kisa mamake kakwambia umoe maji ye kachoka? Aiseee!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] . Kazi ipo kwa waoaji na waolewaji.

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Hiyo namba 2. Acha ushamba wa kizamani. Mkeo akisafiri kikazi mwambie aweke japo kondom tatu kwenye begi lake. Kwani akigongwa jamaa anaondoka nayo?
Kwanza wewe mwenyewe usithubutu kutuambia huchepuki. Cha msingi tu usijue.
Akiamua kugawa uroda hata house wife wanagawa Sana. Tena wanawapa watu wasio na heshma Kama vijana wa dukani, bodaboda, vijana wa ng'ombe etc.
Tusifikirie k muda wote. Kutoa uroda ni maamuzi hawezi kulazimishwa.
Kuna waliomgonga primary, sekondari, chuo mbona mashine umeikuta nzuri na ya kuvutia..
 
Mkuu kumbe unajua kizungu?
 
Tunapita kimya kimya tukisoma comments 😅🤓🤥🤣
 
Juz wa kwangu mtoto analia anataka maji ananiambia mpe mtoto maj m nimechoka...dah usiku ule stimu zilikata kabisaaa
Mkuu si ungempa tu, mtoto si wenu wote lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…