Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Ukimkuta kwenye topics zinginezo ni mtu sanaaa.

Binafsi yangu si mtu wa vyama na kwanza sina ila yanayotokea lazma uyaangalie bila bias. Ila silaumu sana mkuu, ukipewa nyama unanyamaza
Kuna wakati sio hela ni ule ushabiki wa kivyama Kama ilivyo Simba na Yanga ndio unafinya uwezo wa akili wa watu kwenye kutoa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…