Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Kama kweli amepigwa basi tena wameshamuua . Maana hawawezi kumrudisha uraiani na makovu.
 
Mama Samia anatakiwa atuambie tunatakiwa tuishi vipi kwenye nchi yake.ana watuma au?
nilitaka kwenda kupiga kura ila washaniboa siendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…