FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Tatizo faiza unalazimisha sana kila mtu afahamu wewe ni mzawa nambari moja wa dar,uzi umejaa dharau,kebehi mara 'wakuja' . Kuna misemo inapita kubaliana na wakati. Uzi mzima utataka kila mmoja afahamu umekulia kariakoo daah
 
Wewe nkuulize kitu rahisi tu, iyo Yesu umemjuaje?
 
Uislam ndio dini ya kwanza na ya mwisho duniani.
Ulianza na Adam pale Eden.
Ukristo kwanza sio dini.
Ni uhuni Fulani tu umeasisiwa na waroma apo katikati
 
Unawasaidiaje wanawake wenzako hawa wanao omba hela sana , chuma ulete, wavaa uchi, wanaotaka mwanaume mwenye hadhi huku yeye hana hadhi na hawa wanaodhurura huku na huko Ili wanawake wenzako walio kwenye makundi haya waache waache tabia zao mbaya na pia wasitishe kwenda kwenye nyumba za ibada kuuziwa maji na mafuta yanayodaiwa ni ya upako kwa lengo la kutaka kutufunga kauli wanaume huku wao wenyewe wakikaidi amri za mwenyezi Mungu kuwa wao ni dhaifu chombo kisicho na nguvu na wapochini ya tawala na miliki ya mwanaume aliye kiongozi mkuu ?
 
Wewe ndio utaarib Uzi maan hii ni open forums lazima tu reply comment yako,
Nabii issa hakuwa mkristo alikuwa mwislam kama sivyo leta ushahidi.
 
unadhani ni sababu zipi zinachochea wanawake walio olewa hivi sasa, kuwa warahisi mno ukiwatongoza wanakubali bila hiana na kutoka nje ya ndroa zao bila woga 🐒
 

Hili swali lako nimelihamishia uzi husika, nimelijibu huko:

 
🤣🤣🤣
 
Bi FaizaFoxy

Sina mashaka na content utakayoijaza hapa.

Maulana akujalie subra, hata watakaokuvuruga makusudi wasikutoe kwenye lengo la msingi wa uzi huu adhimu na mujarabu!

Lete maneno...
 
Vijana hapa wanauliza wewe ni mzaramo, mluguru, mmakonde au mndengereko?
 
FaizaFoxy samahani sana.

Nimekufuatilia comments zako na nyuzi zako huwa naona hauna ile femiminity (qualities or attributes regarded as characteristic of women or girls)

Hata kuna baadhi ya wadau wanasemaga wewe ni mwanamume. Unatuhakikishiaje kuwa wewe kweli ni mwanamke na sio mwanamume?

Si kwa ubaya lakini
 
Umeongelea swala la compatibility/kuoana.. can you elaborate more Madam?


Pili Ikiwa kijana amechumbia In a hurry Kwa msukumo wa Binti/mwanamke , Mwanamke alitegesha akabeba ujauzito bse alitaka ndoa Kwa udi na uvumba, Kijana akapeleka kishika uchumba , Binti kajifungua Maisha yakasonga ila hakujawahi kuwa na amani , wanapata vipato vikubwa /fedha nyingi za mitaji the were financially free Binti alikuwa mwajiriwa Taasisi X Na kijana alikuwa husla wa mtaani ila alikuja PATA kazi part time kwenye taasisi x Anayofanya kazi Binti Kwa ufupi within 2 years wamepoteza more than 30 Million na unstable marriage/courtship Mpaka imepelekea bidada kapoteza kazi nk na mahusiano hayana amani? What can be done ... Na mtoto wao Ako na 2 years now ?

Wakiwa mbali everything is fine ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…