Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Sio wachaga tu mkuu. Watu wengi kipindi cha sikukuu huwa wanajitoa ufahamu mtu hata hajawahi kunywa anakunywa. Unadhani nini kitamkuta mtu kama huyo?
 
Poleni sana, mambo haya yaskie tu kwa mwenzio. Mwaka 90 tuko home na maza tukawasha moto ndani tupike nje mvua kibao kumbe yale mamikaa yana sumu kibao, tungekufa wote nilishtuka badae nikafungua mlango ndio ilikua pona yetu, Mungu yupo aisee.
Kinachotokea ni kuwa mkaa unazalisha carbon monoxide ambayo mliopondani huanza kuivuta na kuingia kwenye mapafu (ubaya wa hii gesi haina harufu hivyo ni ngumu kugundua).

Matokeo yake ni kuwa mtu atavuta CO bila kujua na ataanza kuhisi kizunguzungu na kupoteza fahamu na kufariki. Mbaya zaidi ukiwa usingizini ndio unakufa kimya kimya.

Jiko la mkaa unashauriwa utumie sehemu ya wazi na hata kama ni ndani pawe na ventilation za kutosha (milango, madirisha yawe wazi).
 
Tatizo ni hawa kina Kaka jambazi hawachelewi kukuhamisha vyombo vyako na kubakishiwa ndala tu!
 
Poleni sana, mambo haya yaskie tu kwa mwenzio. Mwaka 90 tuko home na maza tukawasha moto ndani tupike nje mvua kibao kumbe yale mamikaa yana sumu kibao, tungekufa wote nilishtuka badae nikafungua mlango ndio ilikua pona yetu, Mungu yupo aisee.
Poleni sana, tena ule unaua kimya kimya !
 
Kwanini usizime chief?

Hakuna moto ambao hauzimwi isipokuwa unatakiwa ujue ni extingusher ya aina gani inazima moto wa aina gani.
Moto wa gesi, flammable liquids au tank za mafuta huwezi Zima kwa fire extinguisher...unazimwa kwa kufunga au kuziba source ya hiyo gesi au mafuta au kujifunika kwa blanket maalumu. Ndiyo maana juzi hapa ukipozuka Moto kwenye matanki ya mafuta Kule kigamboni walitumia zaidi ya masaa manne kuzima Moto haukuzimika mpaka alipijitokeza aksari shupavu aliyeenda kuifunga koki ya mafuta ndo Moto ukazima baada ya Yale mafuta yaliyomwagika kuungua.
So usitegemee Moto wa gesi uwake alafu uchukue fire extinguisher uzime utakufa..Kama huwezi kufunga mtungi we sepa tu Hilo eneo...funga mtungi ndo uzime vingine vinavyoungua.
 
Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana

Such a tragedy...!!

Lakini siku hizi majiko si yanakata gas soon unapoachia knob?

Au ni vile vimitungi vidogo vya kupika juu yake?
 
Ndio kilichotokea yaani imekuja mi naona maruweruwe dogo kaanguka kazimia, maza anafuata na hahemi niliwatupa wote nje kwanza baada ya saa nzima tunazinduka ndo tunaulizana hivi imetokea Nini?
Ndo jiko hili tuliwasha ndani.
 
Multi cooker ndio nini
Ile inapika vitu vingi inabake, inachemsha
Not an airfrier...

Multicooker ipo kama ricecooker but with multiple cooking options...

Ila sasa kibongobongo vitu ka hizo hazijazoeleka na pengine wengine kwao ni kama anasa (as long as inakula LUKU)
 
Not an airfrier...

Multicooker ipo kama ricecooker but with multiple cooking options...

Ila sasa kibongobongo vitu ka hizo hazijazoeleka na pengine wengine kwao ni kama anasa (as long as inakula LUKU)
Sawa tutanunuaa eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…