Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Habari za namna hii,sizipendi kabisa.
Na waandishi wengi hata wenye taaluma huwa hawaelezi kwa undani kidogo visa kama hivi ili kama kuna haja ya kuchukua tahadhari ambayo haikuchukuliwa,watu wajifunze.
Sasa ukitoa taarifa pekee ya tukio na si jinsi tukio lilivyotokea,taarifa yako inakosa maana kabisa
 
Kuna mremboo humu anaitwa victorie jaribu kuchonga nae, anaweza kuwa wife to be
Victoire pita hapa King Kong III anakutafuta
 
Dah!!!,nimekosa hata nguvu za kuhoji namna moto ulivyotokea.Raha ya milele uwape Ee Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie.
 
Too sad. Ulevi ndo umecost maisha yao. Wapumnzike kwa amani. Ndo maana mimi gas marufuku nyumbani kwangu. Mimi ni mkaa na kuni.
 
Too sad. Ulevi ndo umecost maisha yao. Wapumnzike kwa amani. Ndo maana mimi gas marufuku nyumbani kwangu. Mimi ni mkaa na kuni.
Mbona mkaa bei sana my? Gesi si uangalizi tu basi nyie naKing Kong III mnaendana kwa kila kitu hata yeye kasema hapendi gesi.
Mungu awajalie jamani nije Nile keki😘
 
RIP so Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…