Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Namuombaga Mungu sana aniepushe na mlevi. Sitoweza mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki.Wake zetu washatuzoea boss.Maisha yanaenda pombe ishakuwa perfume kwao ,we endelea kunywa chai na siagi si tunywe supu rahisi tu .kwenye pato la taifa wanywaji ni wachangiaji wakubwa
R.I.P kwa marehemu na familia yake
Jamani, of all the things? Kukosoa kazi ya Mungu?Mchizi mbona ana makengeza?? Nway RIP
Aisee...Namuombaga mungu sana aniepushe na mlevi.sitoweza .mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Sijui alikuwa anapiga chabo?Wabongo bana duh.
Yani hawa wamekufa wote,chanzo hakijulikani ila mbongo anakwambia jamaa aliyafuta kiberiti masaa matatu ndo akakipata akawasha gesi.
Utadhani nae alikuwepo kwenye tukio dah.
Mme mlevi harudi nyumbani, haijali familia, hafanyi kazi yoyote zaidi ya kulewa, mitaro inamuhusu, makovu yasioisha utakuwa umegundua kitu mpaka hapo. Upungufu wa nguvu za kiume na vitatu kila siku ni Siri ya mumeo utakae mpata na wewe. Dawa zipo pia, maana hakuna mtu mkamilifu ila kueleweshana ndio kunaleta ukamilifu. Mwisho wa siku unazoea hali, kama unataka kuwa hivyo hivyo it's your choice but lazima maisha yaendelee.Namuombaga mungu sana aniepushe na mlevi.sitoweza .mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Microwave.Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Sio bei ya passo hata.boss mkubwa hebu nicheki kule daah sio kwa kufulia hukuMicrowave.
Hata used zipo huna haja ya kuhangaika na kuwasha gesi wala hot potsSio bei ya passo hata.boss mkubwa hebu nicheki kule daah sio kwa kufulia huku
WANATOKEA URU MOSHI VIJIJINI ENEO LA KISOMBOKO AU HUKUSOMA WANAZIKWA WAPI?Rip Hawa Ni kutoka ROMBO Kilimanjaro
DuhJamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Yanii hii inahusika vipi na hii habariMchizi mbona ana makengeza?? Nway RIP
Muwe waelewa gesi hazilipuki huo Ni uzembe tu au bahati mbayaHizi gesi pamoja na kupunguzwa ukauli bado zilinalipukaga kweli
Kumbe ni hapo ushirika wa neema kwa mbeleMume wa Uru karibu na Uru seminary, mke wa Rombo
Mazishi yatafanyika huko Uru Moshi. Msiba unauma huu jamani....
Jamani, of all the things? Kukosoa kazi ya Mungu?
Kvant zinazingua eti?? Mwenyewe jicho la kushoto saivi silielewi limeanza kupandà juuNachukia k vant
Zinazingua kiasi mkuu ukizidisha. Zinakimbilia kwenye mapafu.Kvant zinazingua eti??Mwenyewe jicho la kushoto saivi silielewi limeanza kupandà juu
Wambie bana, unasign contract siku ya ndoa pale kanisani utaishi na huyo jamaa kwa shida na raha, leo hii unakengeuka.Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app