kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Ndugu wa "MAREHEMU"Kiongozi anayeongoza taasisi kwa miaka zaid ya 20, na taasisi imekua ikipata ruzuku ya 300m per month kwa miaka 5 mfululizo, kiongozi huyo ameshindwa kujenga hata ofisi ya ya milion 30 ataweza kuongoza nchi?
Kiongozi anayepanda jukwaani akiwa amelewa, anazaa ovyo na wanachama na wakati ana ndoa ya kikristo ataaminika?
CCM siipendi lakini mbadala wake simuoni hapa nchini kwa sasa.. na ile kauli ya mwalimu Nyerere kua "mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kua bila CCM imara nchi yetu itayumba" ni ya kweli kabisa
Mbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
Kiongozi anayeongoza taasisi kwa miaka zaid ya 20, na taasisi imekua ikipata ruzuku ya 300m per month kwa miaka 5 mfululizo, kiongozi huyo ameshindwa kujenga hata ofisi ya ya milion 30 ataweza kuongoza nchi?
Kiongozi anayepanda jukwaani akiwa amelewa, anazaa ovyo na wanachama na wakati ana ndoa ya kikristo ataaminika?
CCM siipendi lakini mbadala wake simuoni hapa nchini kwa sasa.. na ile kauli ya mwalimu Nyerere kua "mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kua bila CCM imara nchi yetu itayumba" ni ya kweli kabisa
Sio tu gharama za uongozi,ila lipo ,au yapo zaidi ya gharama za uongozi.Hata mitume walitukanwa
Ni gharama za uongozi
Uko sahihi,huyu dogo angepotezwa mazima.Magu alikuwa rais mzuri mwenye misimamo ila naye alikosea kupita njia ileile wanayopita madikteta wote... KUNYIMA WATU UHURU WA KUTOA MAONI... Gadafi, Sankara, Lumumba na wazalendo wengine kosa ilikuwa ni kwenye kuwabana watu wasiongee chochote. Suala la kutoa maoni ni suala la asili hivyo kumzuia mtu ni kumnyima haki yake. Jakaya Kikwete alikuwa bingwa kabisa wa haya mambo ya demokrasia. Na kama alikuwa anatoa kichapo ilikuwa kimyakimya. Huyu dogo wa enzi za JK aliandika bango la maudhi na mbaya zaidi mwanahalisi wakatoa picha frontpage. Ingekuwa enzi za Magu basi huyu dogo, familia yake pamoja na mwanahalisi wangekiona cha moto.
Walijisikiaje alipokuwa akiua watu miaka mitano baada ya kuzuzuka na Urais?Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Kwanini atukanwe yeye tu ?Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Msivyo jielewa mtatumia miaka miwili kumtukana jukwaani badala muoneshe the way forward. Mnamsema magufuli as if wengine hatukuwepo tunaona so mnatusimulia. Why waste time for the dead!!!!Magu uko nae moyoni kwako, sio kila mtu anae moyoni mwake. Usitusemee sisi wengine. Mwache ahukumiwe kwa matendo na kauli zake
Kabisa !!Hata mitume walitukanwa
Ni gharama za uongozi
Unadhani hiyo itawaongezea kura....? Badala ya mahasira na makasiriko mengi...jielekezeni kwenye kurecruit team ambayo itakipeleka chama chenu mbele. Hata Mimi napenda mabadiliko kupitia chama chochote nje ya ccm ila sio kwa uongozi wa mbowe. Upinzan wa tz haujui hata unataka mini na ndio maana mtapoteza miaka miwili kumtukana magufuli huku wenzenu ccm wanasuka mipango.Walijisikiaje alipokuwa akiua watu miaka mitano baada ya kuzuzuka na Urais?
Labda anatukanwa na wabaya wake mitandaoni lakini ukija huku kwa Ground acha kabisa watu wanamkumbuka jamaa sana sana !!Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Go to hell and face the agonies thereinUnadhani hiyo itawaongezea kura....? Badala ya mahasira na makasiriko mengi...jielekezeni kwenye kurecruit team ambayo itakipeleka chama chenu mbele. Hata Mimi napenda mabadiliko kupitia chama chochote nje ya ccm ila sio kwa uongozi wa mbowe. Upinzan wa tz haujui hata unataka mini na ndio maana mtapoteza miaka miwili kumtukana magufuli huku wenzenu ccm wanasuka mipango.
Dogo kama huyo anapotezwa kwan anaelewa nnUko sahihi,huyu dogo angepotezwa mazima.
Kila serikali inaukatili wake ila sio huu wa waziwazi kama wa JPM,nimekuelewa sana mkuu
Duh ! Hii si mchezo !! Kama utani vile lakini ipo logic ndani yake ! Na anaweza akaja kutokea ! Who knows ?!!Pengo kubwa la kipato kati wenye nacho na wasionacho ni KUBWA Sana!
Pengo Hilo linazalisha kina jpm wengi Sana KILA uchwao!
Tulikuwa na JPM mkristo BADO JPM muislamu anakuja kama sio Mimi ni mwingine!!
Nani atavumilia ujinga huu uliopo!?
Yaani umeme kama kibatari,RC Gari la million 500 WAKATI walipa kodi wanajua msoto!!
Kina jpm tutakaotukanwa tupo WENGI TU tena waanze kututukana Sasa!
Walimu wanagawiwa vishkwambi badala ya kuwaongezea mishahara Halafu wanaambiwa marufuku kuongea kiswahili darasani wakati wanafunzi wa formone hawana ujuzi wa kiingereza bado upigaji mwingine tu! Eti VIJANA pendwa wanajiandaa na urais!!!
Labda wazuie nisipenye!sitojali huyu ni Mtoto wa Nani!nitaheshimu na kujali VIJANA wa NYERERE tu!!
Sheria zipo kwaajili ya wote hata marais wastaafu wataingizwa mahabusu kama waliiba fedha za umma!!
Kumbe kuna machoko bado nyolo zinapwita sana wakiskia Jina la JPMWatanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Tena wa pande zote mbili na hasa hasa wa kutoka Chamani kwao !!