Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Hamna anayebeba dhambi za mtu kuwa makini, kila mtu anabeba furushi lake mwenyewe. Usijidanganye 🀣🀣🀣
 
Ni kweli hakupandisha mishahara akasema sababu ni Nini!! Na mfumuko wa bei haukuwa mkubwa hivi!

Leo mfumuko ni mkubwa na tulidanganywa asilimia zile hapo july mwaka jana na hakuna sababu za msingi za kutudanganya na mfumuko ndio huo unauona!!
Mwalimu nikwambie kitu,uhuru ni bora kuliko yote hayo,vinginevyo blacks wa south africa wangemuacha kaburu awatawale tu,maana walikuwa na maisha bora kasoro uhuru,
 
Hiyo familia Ina mkosi, ilizaa Pepo, ikaishi nalo
 
Familia ya Nyerere imekuwa ikitukanwa kabla hata ya Uhuru lakini huwezi kumuona Madaraka au kaka zake wakijibu shutuma.

Ni ukomavu wa kiakili kuwa na uwezo wa kuvumilia na kupuuzia yanayosemwa mitandaoni.
 
Kama kuuliza kuwa kwa nini anatukanwa ni jinai njoo unikamate nimekaa pale
 
Mkuu unajua mzazi wako akishaingia kweny siasa ni vzr sana ukajiepusha na mitandao hasa Jf, Twitter na Instagram yaan zitapigwa spana kinyama!! Na siasani haya yote lazima yakukute hakuna namna!! Imagine babaako anaambiwa mbele za watu arudi na mavi yake nyumban 🀣🀣🀣🀣 imagine!!
 
Kweli siasa zinataja uwe na ngozi ngumu
 
Ila kwa Magufuli siyo hivyo. Yeye alimiliki mwenyewe kundi la WASIOJULIKANA ambalo lilikuwa linafanya kazi chini ya Makonda na Sabaya. Lilikuwa linateka, linajeruhi na ikibidi linaua wale wote linaoona wanamkosoa Rais. Ndiyo maana hata uchunguzi wa mauaji ya akina Ben Saanane au Azory au utekwaji wa akina Roma haukuwahi kuchunguzwa
 
Daaah ila bongo 🀣🀣🀣🀣
 
Kwa mtu mwenye akili, atagundua asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda JPM, kwa wachache (hasa mafisadi) mkae kimya kwani mtaibika.
 
Hii ni cheap politics madam, wengi wamejaribu kuja na hii propaganda na wote wameangukia pua. Ofisi sio watu. Unaweza ukawa na ofisi nchi nzima na watu wasikuelewe. So njoo na hoja nyingine
Nioneshe chama kilichoenda ikulu kikiwa hakina hata ofisi.
 
Kweli wewe hujui Magufuli alikosea wapi!!!? Samia mwenyewe anahangaika kurekebisha maelfu ya makosa aliyofanya huyo mtu wenu. Juzi tu Samia ameondoa katazo la mikutano ya siasa lililowekwa na dikteta; hujui bado Magufuli alikosea wapi?!!!

Kwamba miaka yote miwili alikuwa anahangaika kuondoa zuio[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa chawa akili zote unazijaza nyuma.
 
Wenzie walitukanwa wakiwa madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…