Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hamna anayebeba dhambi za mtu kuwa makini, kila mtu anabeba furushi lake mwenyewe. Usijidanganye π€£π€£π€£So long as mko hai mtabeba majanga aliyochuma huyo mtu wenu..ππππ.
alipiga watu risasi hata pole hakuna,
alivunja watu kiguu akasema eti wlilewa ππππ.
Nawapatiliza wana dhambi za baba zao,mtabeba Hadi mnaingia makaburini kumfuata baba yenu πππ