F mkamilo
Senior Member
- Nov 19, 2017
- 104
- 540
Punguza chuki mdau.Waliishi zaidi ya malaika wakati yuko hai,watulie sasa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza chuki mdau.Waliishi zaidi ya malaika wakati yuko hai,watulie sasa
Ndio maisha yalivyo.. kila kitu kina bei yake
Kweli umesema ukweli,ata mimi nashangaa mpaka leo kuna masomo yanawafundisha watoto wetu kuhusu mabaya ya HITLER,MUSSOLIN,AMIN,MOBUTU nk wakati hao watu walikufa miaka mingi tu.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Kama Mwenyekiti wa Chama Tawala anawaalika kwenye podium katika mkutano mkuu Taifa watu wanaofahamika tangu mtaani kuwa wanaongoza genge la kumtukana mtangulizi wake. Basi ujue matusi ya mitandaoni siyo jambo la bahati mbaya.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
You reap what you sow, huu msemo wa wahenga una maana kubwa mno.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
hiyo ni familia ya kiustaarabu na asilani haiwezi kujisikia vibaya sababu tu ya wapuuzi wachache ambao wanatukana humu mitandaoni.tunajua hao wanaotukana ni watoto wa zile familia za kifisadi ambazo JPM aliamua kuzisambaratisha.hautakuta mtoto wa mkulima akatukana humu mitandaoni na wanajua ni nn kilijiri wakati wa kipindi cha JPM.tukiacha unafiki,nchi hii kabla ya JPM kuna kundi la watu walijiona wako juu ya sheria na hawawezi kukuguswa.walikuwa wanaiba hata bila kuwa na hofu ya Mungu.waliwafanya watz kuishi bila uhuru.watoto wa mafisadi ndio waliokuwa wakiajiriwa kila sekta ambazo zilikuwa nyeti ktk nchi hii wakati watoto wa walalahoi ajira zao zilikuwa ni chaki na huko majeshini.mafisadi hao waliunda kampuni za kihuni za kuwaibia watz.walipora wanyama wetu na kuwapeleka ughaibuni.walikuwa wanasomesha watoto wao shule bora huku watoto wa walalahoi wakiputwa shule za kata.baada ya mwamba kuingia upuuzi huu ulisambaratishwa ndo maana kwa sasa unaona watoto wa hao wezi ndo wako humu kumtukana mtu ambaye hayupo tena duniani.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Nyie mnaoleta mada zake ndio mnaacha watu wateme nyongoKabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Unaleta upumbavu wako humu kwani huna hoja nyingine yenye mashiko!Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Yote hiyo ni sababu ya Magufuri bila Magufuri akina Halima Mdee na wenzake wasingekuwa wanapokea hela ambayo ingefanya shughuli nyingine za maendeleo,Magufuri kaifilisi nchi kutokana na ubabe wake usio na faida.Wewe hujiulizi kwanini akina Halima Mdee na wenzake wako bungeni na mambo yanakwenda Bila shida?
Hujiulizi kwanini Mabodi anadunda tu?
Dini na Siasa ni Kitu kilekile tofauti ni falme tu!
Wazalendo aka SUKAUMA GANG na WATU WASIOJULIKANA.Atatukanwa na watu wenye hulka na fikra za kitumwa kama wewe.
Wazalendo na wenye akili timamu wata muenzi kwa kuonyesha jinsi kiongozi anavyo paswa kuwa.
Magufuli atabaki kuwa Shujaa' milele.
Nyie vibwengo mnaopandisha nyuzi zinazombusu huyo muuaji ndiyo mnakaribisha hasira za wale aliowafanyia unyama.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Hata wenyewe wanafurahi tu mbona!! Dikteta alikuwa ana bulldoze mpaka familia. Hujawahi kusikia kisa cha Mama Janet kubeba mchanga kichwani?Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Mama alinyanyasika tangu shetani Magufuli akiwa Waziri. Alivyo na roho ya kishetani alimnunulia nyumba ya serikali mchepuko wake aliyekuwa anasoma geology pale UDSM bila kificho!Hata wenyewe wanafurahi tu mbona!! Dikteta alikuwa ana bulldoze mpaka familia. Hujawahi kusikia kisa cha Mama Janet kubeba mchanga kichwani?
Nikupe gari,nikuteue mimi,mshahara nikulipe mimi halafu nisikie mpinzani ameshinda!Kazi huna.By Magufuri.You are just a learned friend who thinks that leading a country is that way simple especially here in Africa where power is centralized to one person....
Kwetu Tanzania rais ni kama mungu, unauliwa tu hata na wahusika wengine wanaosaka madaraka na sifa alafu lawama zinamuendea ambaye hata hahusiki. Same case to magufuli....lakini how long tutachukua kila siku kumponda ambaye ameshakufa?
Ushahidi ni jinsi mjane alivyonawiri baada ya huyo subiani kufaHata wenyewe wanafurahi tu mbona!! Dikteta alikuwa ana bulldoze mpaka familia. Hujawahi kusikia kisa cha Mama Janet kubeba mchanga kichwani?