Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

Hii ni kanuni. Haijalishi ulianza vizuri kiasi gani, kinachobeba taswira ni namna ulivyomaliza. Na mwisho ndiyo unabaki kuwa kumbukumbu.
 
Kutomtaja Kikwete kwenye report zao, hotuba na hata jarida lao la Familia la kurasa, 23 ni msingi mzuri kuonyesha kuwa, wao, wana family ya Lowasa hawana unafiki kama wa Kikwete. Ndugu, mwandishi katika hoja zako unasema, wamekosa shukrani. Tukuuluze, shukrani IPI???? Nafikiri shukrani unayoongelea ni Kikwete kumteua, Lowasa kuwa PM. Lakin, tukichambua kwa makini kabisa, aliyekosa shukrani ni KIKWETE. Inasemekana Kikwete hakuwa na pesa, za kuwa Rais, alifadhiliwa na Lowasa na Rostam Aziz. Na utakumbuka, Mwaka 2015 , pale Arusha lowasa alisema kuwa, makubaliano Yao, y alikuwa, kwamba baada ya Kikwete kuwa, Rais, angemwachia, pia Lowasa. Alisema kabisa Lowasa. Aliyekosa Shukrani ni Kikwete. Alivunja makubaliano Yao. Kwanza, issue ya Richmond ilikuwa ya Kikwete lakini akamsingizia Lowasa. Lowasa, akajiuzuru. Akaona hiyo haitoshi, mwaka 2015,akaondoa jina la Lowasa kwenye wagombea wa, Urais wa CCM. Kikwete alimfanyia unyama mkubwa sana Lowasa. Lowasa alikuwa frustrated, mpaka akahama chama. Akapata, stroke kubwa. Bado unasema family ya Lowasa hawana shukrani.
 

Unashangaa familia kutomtaja Kikwete, walijaribu kutoitaja hata CHADEMA. Sasa ndo uone ni familia ya aina gani!.

Kikwete alimpa mzee wao uwaziri mkuu wao wanataka angempa urais kabisa!
 
Unashangaa familia kutomtaja Kikwete, walijaribu kutoitaja hata CHADEMA. Sasa ndo uone ni familia ya aina gani!.

Kikwete alimpa mzee wao uwaziri mkuu wao wanataka angempa urais kabisa!
Sidhani kama uwaziri mkuu unatolewa kama nyanya sokoni.Lowasa alikuwa mchapa Kaz wa hali ya juu Sana. Hao watu wawili Lowasa na Magufuli w alikuwa na uwezo wa hali ya juu Sana kiutendaji , hauwezi kuwaacha. Lazima uwape kazi. Na ukikosea wana, Ku overshadow:
 
Kuuliza swali siyo kwamba muuliza swali amejenga msimamo kwenye swali
 

Angeamua angempa yeyote mwingine nani angemzuia?.

Ni kwamba JK alimtaka Lowasa awe waziri mkuu, akampa uwaziri mkuu full stop.
 


Nani kasema alikuwa rafiki kipenzi🙏 Kikwete ni mnafiki sana wa msio mfahamu ana wivu wa ajabu. Chini chini yeye ndiye alimtoa uwaziri mkuu na kukampeni asiwe Raisi
 
JK inaonekana ni icon inayopenda kutupiwa lawama kila wakati.

Lowasa alikataliwa na Nyerere kwanza kabla ya Kikwete. Hata jaji Warioba alithibitisha juzi hilo
na pia unakumbuka mkapa alipouzima ule wimbo wa tunaimani na lowassa!acheni kumsingizia jk,hivi ccm ingetaka lowassa awe rais na anayekataa ni jk tu,lowassa si angekuwa rais
 
Hii kauli tulikubaliana akitoka yeye niingie mimi nilipoisikia kwa mara ya kwanza ilinishangaza sana
 
Akitajwa au asipotajwa inaqkuhusu nini? By the way tafuta hela mkuu
 
Kwahiyo kikwete kuongea hivyo ndo Ina maana alikuwa akishirikiana na na ndugu na kuwa karibu na marehem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…