Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.

sasa hapo aliyezaa zaa kama panya ni nani, hao wanawake au Ruge ?

Kwa mtu unaejielewa, Ruge sio mfano mzuri wa kutumia kukanya watu "wanao zaa zaa kama panya"

hao watoto sita na mama sita sio kuzaa zaa kama panya ?

baba masikini mwenye watoto sita na mama mmoja
 
Na familia za mengi ni kajamba nani? mbona walipelekana mpaka mahakamani?
 
kwa msuya shida ni ndugu
 
Punguza mihemko.... aliyezaa kama panya ni ruge na katunza watoto wote toka akiwa hai na mpaka amekufa kawatunza pia.

Kuzaa na wanawake tofauti tofauti imekua kawaida miaka hii, hivyo basi mtu ukiona huwezi kuvaa condom basi tunza kila ulipoacha mbegu bila visingizio.

Au mwenzetu kichwa yako imebeba meno, you can't make a simple comprehension?
 
Niliwaza hvyo hvyo
Mbongo kununua kitu ya hela hiyo ni kukaribisha nzi wa serikalini
Halafu plot yenyewe ilipo nahisi muhusika kanunua for prestige aifanye residential
Sababu sqm 1000 kwa $800,000 ni nyingi na ukisema uibadilishe iwe commercial itatukucost even more, hiyo return sijui utaipata baada ya muda gani.... it goes beyond 20 yrs.
Labda kama umenunua ili baadae ukifanyiwa evaluation upate mkopo mkubwa zaidi ufanye mishe zingine otherwise ni luxury purchase
 
Punguza mihemko.... aliyezaa kama panya ni ruge na katunza watoto wote toka akiwa hai na mpaka amekufa kawatunza pia.

Kwa hiyo unakiri Ruge alizaa kama panya.

Basi hakufaa kupigiwa mfano wa uzazi na malezi bora, alizaa watoto sita na wanawake sita, huo ni umalaya, he was a filthy hoe.

Hoja yako ya kushambulia wanawake aliozaa nao ni utumbo mtupu.
 
Embu tuuone huo mjengo
 
Kwa hiyo unakiri Ruge alizaa kama panya.

Basi hakufaa kupigiwa mfano wa uzazi na malezi bora, alizaa watoto sita na wanawake sita, huo ni umalaya, he was a filthy hoe.

Hoja yako ya kushambulia wanawake aliozaa nao ni utumbo mtupu.
Kichwa yako ndo imejaa funza..... soma polepole ujione ulivyo na ufinyu wa kutafsiri mambo.
Ukiweza mpe mtu mwingine akusaidie kutafsiri
 
We wasema, watoto wa mercy hawakurithishwa chochote na baba yao? una uhakika? et wamesucrifice kujenga empire? motie angekuwa hai ningekubaliana na wewe, huyo wa kike anajua nn zaid ya kusagana, huyo wa kiume naye si boya tu kama boya wengine, amechangia nn kwenye mali za mzee? kama baba yake alimpa option abuni biashara au afungue kampuni amsupport yeye et anafungua studio halafu et anawarekodia wasanii bure, huyo mtu au kiazi, motie ndo alikuwa anajua anachokifanya hao wengine famba tu.
 
Embu tuuone huo mjengo
Kama ni ambayo nimewahi ona kwenye moja ya videos way back... basi ni zile nyumba old school nothing fancy nje hamna landscape ya kustua.
Hata mnunuzi akitaka kufanya residential ya kisasa itamcost sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…