Familia yake wanataka kunitolea mahari

🤣🤣 Kwahiyo ulitaka nimfute kwenye malezi ya watoto wake?toka tuachane sijawahi kujuana naye kimwili zaid ya maslah ya watoto tu 🙏
 
Mkewe anajua kuwa jamaa alishazaaga watoto kabla hajamuoa🙏
 
[emoji1787][emoji1787] Kwahiyo ulitaka nimfute kwenye malezi ya watoto wake?toka tuachane sijawahi kujuana naye kimwili zaid ya maslah ya watoto tu [emoji120]
Sio hivyo mkuu, ila najaribu kuvuta picha mm ndio nimeoa mwanamke wa aina yako. Yaana mara uende nyumbani kwa mzazi mwenzio kuona watoto, mara mtoto kaumwa mmekutana hospital, siwezi kwakweli.
 
Najua kwa sasa unaweza kuwa mbali nae ila si milele, iko siku utarudi tu kwake kupasha kiporo.
Haipo hiyo najiheshimu na tushakuwa watu wazima sasa,tunafocus kuwapatia watoto malezi Bora kwa wote kuwajibika🙏
 
Hahah siendi kwake,naenda kwao,yani mengi yanafanyika kupitia wazazi wake na ndugu zake,mie Sina hata namba yake ya simu 🙏
Sio hivyo mkuu, ila najaribu kuvuta picha mm ndio nimeoa mwanamke wa aina yako. Yaana mara uende nyumbani kwa mzazi mwenzio kuona watoto, mara mtoto kaumwa mmekutana hospital, siwezi kwakweli.
 
Ila nashauri watoto wake kwa bibi,ili kila mmoja awe na uhuru wa kuwaona wanae,kwa sababu wakikaa kwa baba,mama yao mzazi hatapata uhuru wa kuwaona wanae kwa kuhofia ugomvi na mke mwenzake.Na baba pia hatoweza kwenda kuwaona watoto wake ikiwa watakuwa wanaishi na mama yao mzazi na baba wa Kambo. But all in all natamani kusingekuwa na kuachana Hasa kwa watu waliozaa watoto,ni huzuni sana,watoto wanateseka vibaya mno pasipo na sababu,na since watu wakiachana lazima kuwe na maumivu.
 
Kuna wakati kija wangu alimweleza kaka yake kuwa, ananichukia kwa vile siishi na mama yake. Ni maumivu ajabu ila utamu wa K unaleta madhara makubwa na vidonda kwa watoto visivyoponyeka.

Huyu Ironbutterfly kitu hajui ni kuwa mtopto akiwa wa kiume, hataki amuone mama na mwanaume mwingine ambaye si baba yake. Akiwa na mwanaume mwingine, atataka kurudi kwa baba. Kama hao watoto ni wa kike, wao huwa hawana tatizo kuishi na baba wa kambo.
 
Ushauri mzuri sana huu,muhusika uchukue na uufanyie kazi kwa haraka
 
Mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwingine huwa ni kitendawili labda awe na matatizo ya uzazi.
Ishi humo afu baadae utakuja kuona matokea,labda baba yao awe amekufa.
 
Ohhh fidia ndio inakuwaje?
Sijasoma comment zote ila hiyo sio fidia ya kukuzalisha, kwa lugha ya kawaida hiyo ni kugomboa watoto. Kwahiyo haulipiwi wewe, wewe endelea tu na huyo mtu wako mpya na sioni haja ya wewe kuzuia hili.

Huyo mtu wako kama ana maarifa hawezi zuia hilo, wala hawezikua na wivu
 
Mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwingine huwa ni kitendawili labda awe na matatizo ya uzazi.
Ishi humo afu baadae utakuja kuona matokea,labda baba yao awe amekufa.
Ni kweli kwa asilimia kubwa ila wapo wanaume wenye mioyo yao na ni wazima tu na wanalea watoto ambao sio wa kuwazaa ila ni wachache sana,lkn pia ni heri baba wa Kambo kuliko mama wa kambo,Hawa ndo wabaya zaidi kipindi Cha kwanza watapretend kuwapenda watoto wa waume zao lkn badae wanaanza kuwanyanyasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…