Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
"Nimesoma ila mweupe" aise ?! inashangaza kiasi gani kumiliki makazi katika nchi tatu tofauti, ni mwendo wa kupanda pipaahhaha wewe jinsi navyoendelea kukusoma ndivyo navyoendelea kukuona umesoma ila mweupe na hauko wise, utasemaje 99% ya wanaume wamekubaliana na wewe, unajua kuna wanaume wangapi humu??? au mapoyoyo yaliyokua twisted kwenye malezi na wenye 'profile' kama lako..walivyoku support ukajua wanaume wote wanakusupport????... mtu anakuja na wanawake ni chombo cha starehe, huyu ana tofauti gani na wewe? au unadhania mwanaume mwenye aliyetoka kwenye malezi mazuri akatoka well rounded person ata support huu utumbo ulioandika hapa?
"Nimesoma ila mweupe" aise ?! inashangaza kiasi gani kumiliki makazi katika nchi tatu tofauti, ni mwendo wa kupanda pipa
nchi hii, pipa nchi ile, pipa kurudi nyumbani Tanzania pipa vocation afu nikawa "mweupe" hivi mweupe ni mimi au baba yako, familia yako yote na wewe.
Asilimia ni ya wachangiaji hao wasiochangia ni simps na weak men wanaume wajinga wanaoendeshwa na wanawake.
We Chausiku na wewe ni queen ?! Ebo !!hahaa uta boast kila kitu ila wewe ni mweupe, ushasema mwenyewe uko hapo sababu ya 'connections'...
Eti asilimia ni ya wachangiaji, unatarajia kuja hapa kwenye hii platform kuvuta watu wenye 'profile' kama lako, halafu ujisifie kuwa 99% wanaume wameku support, nina mashaka na hio elimu yako, labda kweli uko hapo sababu ya 'connections' peke yake na sio elimu, haijakukomboa kabisaa...
Eti wanaume wanao treat wanawake zao kama queens ni weak men, unashangaza kweli
tena Queen hasa, at least infront of my man!, na hio inatosha, sihitaji kuambiwa mimi ni queen na watu twisted kama wewe!...namuonea huruma mkeo..sababu sidhani kama ushawahi kumwambia yeye ni queen, afu unasema unapendwa?! hahahahaahahahWe Chausiku na wewe ni queen ?! Ebo !!
Tunatafuta pesa Ili tuhonge.... anything more than that ni ubatiliNiko powa mkuu, thanks, sijasema na wewe uko twisted mkuu, lol, ila ningependa kujua nini msimamo wako katika hili rafiki...
Chausiku it was nice sharing and exchanging words, ila naomba kukuacha mkuu I have matters to catch up. Wewe pia najua unahitaji kufua chupi za boyfriend wako, tchao chat to you after some time.hahaa uta boast kila kitu ila wewe ni mweupe, ushasema mwenyewe uko hapo sababu ya 'connections'...
Eti asilimia ni ya wachangiaji, unatarajia kuja hapa kwenye hii platform kuvuta watu wenye 'profile' kama lako, halafu ujisifie kuwa 99% wanaume wameku support, nina mashaka na hio elimu yako, labda kweli uko hapo sababu ya 'connections' peke yake na sio elimu, haijakukomboa kabisaa...
Eti wanaume wanao treat wanawake zao kama queens ni weak men, unashangaza kweli
Chausiku it was nice sharing and exchanging words, ila naomba kukuacha mkuu I have matters to catch up to. Wewe pia najua unahitaji kufua chupi za boyfriend wako, tchao chat to you after some time.
Tunatafuta pesa Ili tuhonge.... anything more than that ni ubatili
inategemea mazingira uliyokulia ila sex sio favor, ni zao la upendo.Sasa kama kanitunuku tamu yake nisimuhonge hata kidogo?
Ooh buy her what ?! Hizo taka zote anapata tena "customized" achana na mabati gold, diamonts za mitaani mkuu ushawahi kuona "customized jewellery" ?!Mkuu uwe na siku njema, please take her out,buy her diamond rings, designer handbag..and see how this will change things...bye..peace!
Ooh buy her what ?! Hizo taka zote anapata tena "customized" achana na mabati gold, diamonts za mitaani mkuu ushawahi kuona "customized jewellery" ?!
Naona umesahau kwenye uzi wangu nilisema wazi mke na mama ndio wanawake pekee wanahitaji attention ya mwanaume.
😅😅Kamatia chini😁