Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Finally we have agreed mkuu... tunachopinga sisi ni general conclusion wanawake wote ni wabinafsi, wasiopaswa kusaidiwa, mwanamke kutoa ama kutotoa hio ni ya kwako mkuu..kila mtu ashinde mechi zake..
mjadala umefugwa..
 
Huo ni mtazamo wako mkuu.Maana Mimi sijasema hivyo.

Kuwa single mother siyo kosa lako,Tatizo ni kichwa chako.Kilaumu Kila siku.
Hahahaha mimi sio single mother, ila ningekua still nisingeruhusu mwanaume yoyote kuni treat like shit..kila mtu ashinde mechi zake..lol...sababu hata hao single mothers hao watoto hawakupewa na mijusi ni wanaume kama nyinyi mnaotreat wanawake kama shit proving ni nyinyi wanaume ndio selfish, msio na huruma, msio na shukrani (sio wote)
 
i agree 100%... 😍😍😍😍😍
 
hata vijana wamebadilika mkuu zamani huwezi kuta kijana anafanya unyanyasaji wa hivi mkuu.
Wanajikuta wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya wanawake wasasa hivi umeona alichopitia saidi yule wa Mwanza kambadilisha demu alikuwa barmaid mpaka kumfanya awe mpambambaji wa maarusi na kumbi za harusi kawekeza muda na fedha kwake na akaenda mbali zaidi mpaka kumuoa kabisa lakini angalia malipo yake aliyoyapata ndio maana mtoa mada anasema Wanawake wengi especially wa kizazi hiki wengi wao ni wabinafsi na wasio na shukrani kijana usijitoe ufahamu kwasababu tu unataka nyapu humu Jf
 
hahahah nyie wachukia wanawake ndio huwa mnamjibu mtu anayewachallenge kidogo kwa matusi ya Nguoni...eti bwawa, sugar mumy,malaya...tunawasoma na kuwazooom tuu....tunacheka hihiihiiii in Magufuli's voice!

Eti you never chose me, huna hadhi ya kuwa na mimi, una hadhi ya kukaa na hao hao wadada wanaoku treat like shit!...

.. Sababu is exactly what you deserve,
 

Unapoteza nguvu zako kupingana na maada.Wewe ni mwanamke pekee unayetaka kupinga kilicho andika.Haujishtukii Mkuu? Ujuaji tu ndo umekujaa

Yani nione wivu Kwa kumwambiwa mwanaume mwenzangu yeye ni husband material? Hiyo ni ngumu.Maana kuambiwa hata wewe unaweza kuambiwa wewe ni mzuri japokuwa si kweli. Ok.mwanamke mwingine aone wivu mm kukwambia wewe ni wife material? Mbona inashangaza... Maana kama vigezo ni vyako ulivyo tumia kusema na mm kutakuwa na vigezo vyangu nilivyo tumia kusema.Wivu???

Ignore.
 

Acha kumtukana kaka wa watu anataka Nyapu, he is gentle, thoughtful,Respectful, hili sio profile la mtafuta Nyapu, hili ni profile la mtu anyetafutwa sana na Nyapu kwa taarifa yako...

Mambo ya Said, mwache kaka wa watu apumzike!, kwanza si mlisema mnasaidia wake na mama zenu?!
 
Na ndiyo maana nikasema shida iko kichwani.Maana hao wanaume hawaku force.

Kuwa single mother siyo shida,Tatizo ni kichwa chako.Kilaumu Kila siku.
 
Acha kulialia wewee tulia dawa iwaingie
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Usilie dada we tanua vizuri dawa ikuingie. Unaonekana umezoea kitonga sasa mada kama hizi zinakupa mawenge, kaa kwakutulia.
 
asee nakwambia jamaa amepata anacho stahili wewe una mke unamwacha mke wako unaenda mjengea kimada mdangaji unawekeza kwake unategemea nini kama sio mauti..

Jamaa ni mjinga mana alijifunga na shetani na amemburuta mpaka kaburini

Tamaa mbele mauti nyuma askari anae jiuwa hapati heshima yoyote...
 
Mwanamke akiwa na shida, ndiyo muda wa kumueleza shida zako pia.

Ni mwendo wa WIN WIN situation.

Ukimtatulia shida zake ndiyo umueleze za kwako,You'll suffer!!😁.
 
wakati said anatedwa mwanamke alikuwa anarudi kwa mume wake ambae yeye anaona anakuwa na amani..

said yeye akashidwa rudi kwa mke wake eti sababu amewekeza kwa mwanamke..
 

Hahahahahah napoteza nguvu zangu kwani unanilipia bando? wewe una wasiwasi wa nini????ujuaji ni wewe mkuu, hata mtu akikufafanulia vitu unashupaza shingo!...na kuinterpret vitu differently kisa vinafit tu na jinsi unavyotaka vitu viwe.....

Halafu nimegundua una tatizo la kuelewa, comprehension yako ni -Ve!, siko hapa kupoteza muda kwa watu sio tu wenye uelewa mdogo wa mambo, bali pia wajuaji, pia wabishi, pia si wasikilizaji, pia wanaodhani wanwake ni mazimwi!, sidhani kama itakuwa wise mimi kuendelea kubishana na wewe mkuu, baki na msimamo wako nibaki na wangu, siwezi kuendelea kushushia vitu huvielewi,unainterpret differently...No way!, karibu siku nyingine kwa arguments... bye, peace!...yes mkuu Mervin kuanzia sasa naku ignore rasmi, feel free kuandika chochote, sitakujibu.
 
Huu ujumbe wako ngoja nimtag bidada Rebeca 83 na Mume wake mtarajiwa The unpaid Seller
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…