Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Finally we have agreed mkuu... tunachopinga sisi ni general conclusion wanawake wote ni wabinafsi, wasiopaswa kusaidiwa, mwanamke kutoa ama kutotoa hio ni ya kwako mkuu..kila mtu ashinde mechi zake..
mjadala umefugwa..
 
Huo ni mtazamo wako mkuu.Maana Mimi sijasema hivyo.

Kuwa single mother siyo kosa lako,Tatizo ni kichwa chako.Kilaumu Kila siku.
Hahahaha mimi sio single mother, ila ningekua still nisingeruhusu mwanaume yoyote kuni treat like shit..kila mtu ashinde mechi zake..lol...sababu hata hao single mothers hao watoto hawakupewa na mijusi ni wanaume kama nyinyi mnaotreat wanawake kama shit proving ni nyinyi wanaume ndio selfish, msio na huruma, msio na shukrani (sio wote)
 
tatizo wamepokelewa vibaya hata wake zao wamewaowa wakaanza na ukatili hapo hapo usitegemee mwanamke atakuvumilia...

Tena kwa ulimwengu huu wa kisasa wa usawa lazima utumie busara zaidi kuliko ubabe.

Unawezaje kuwa mkatili kwa mtu anae kupikia chakula???
i agree 100%... 😍😍😍😍😍
 
hata vijana wamebadilika mkuu zamani huwezi kuta kijana anafanya unyanyasaji wa hivi mkuu.
Wanajikuta wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya wanawake wasasa hivi umeona alichopitia saidi yule wa Mwanza kambadilisha demu alikuwa barmaid mpaka kumfanya awe mpambambaji wa maarusi na kumbi za harusi kawekeza muda na fedha kwake na akaenda mbali zaidi mpaka kumuoa kabisa lakini angalia malipo yake aliyoyapata ndio maana mtoa mada anasema Wanawake wengi especially wa kizazi hiki wengi wao ni wabinafsi na wasio na shukrani kijana usijitoe ufahamu kwasababu tu unataka nyapu humu Jf
 
Hahahahahah. Bahati yako I never chose you. Nilikuona na bado nakuona huna issue kupitia post zako. Ni kama bibi flani tu hivi sugar mummy ambae lina bwawa kubwa na hata mtu ukienda utaishia kuogelea tu. Hahahahaahah. By the way nimesema tu mkuu wala usitafute battle na mimi. Qmmako malaya mkubwa wewe
hahahah nyie wachukia wanawake ndio huwa mnamjibu mtu anayewachallenge kidogo kwa matusi ya Nguoni...eti bwawa, sugar mumy,malaya...tunawasoma na kuwazooom tuu....tunacheka hihiihiiii in Magufuli's voice!

Eti you never chose me, huna hadhi ya kuwa na mimi, una hadhi ya kukaa na hao hao wadada wanaoku treat like shit!...

.. Sababu is exactly what you deserve,
 
Eti kipi kipya nilichonacho, wewe una kipya kipi kwani????

Wivu yes, tatizo lako ni immaturity, wewe ni kijana mdogo sana sidhani kama hata umefikisha miaka 30...

Wivu, sio lazima umuone mtu physically, au umuone ame acquire mali,gari,elimu sijui mke...

Wivu saa nyingine, hata kumuona mtu amekua accepted kwa mchango wake, katika jamii...

Unakua annoyed, why him and not you...

Unanipotezea muda na nguvu nyingi, kukufanunulia kwa ujuaji wako...

Nafikiria kuanza kuku ignore...

Unaniboa

Unapoteza nguvu zako kupingana na maada.Wewe ni mwanamke pekee unayetaka kupinga kilicho andika.Haujishtukii Mkuu? Ujuaji tu ndo umekujaa

Yani nione wivu Kwa kumwambiwa mwanaume mwenzangu yeye ni husband material? Hiyo ni ngumu.Maana kuambiwa hata wewe unaweza kuambiwa wewe ni mzuri japokuwa si kweli. Ok.mwanamke mwingine aone wivu mm kukwambia wewe ni wife material? Mbona inashangaza... Maana kama vigezo ni vyako ulivyo tumia kusema na mm kutakuwa na vigezo vyangu nilivyo tumia kusema.Wivu???

Ignore.
 
Screenshot_20220605-123747_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-123806_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-123354_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-124024_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-124047_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-124305_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-124438_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-124547_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-125028_Chrome.jpg
Screenshot_20220605-125028_Chrome.jpg
 
Wanajikuta wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya wanawake wasasa hivi umeona alichopitia saidi yule wa Mwanza kambadilisha demu alikuwa barmaid mpaka kumfanya awe mpambambaji wa maarusi na kumbi za harusi kawekeza muda na fedha kwake na akaenda mbali zaidi mpaka kumuoa kabisa lakini angalia malipo yake aliyoyapata ndio maana mtoa mada anasema Wanawake wengi especially wa kizazi hiki wengi wao ni wabinafsi na wasio na shukrani kijana usijitoe ufahamu kwasababu tu unataka nyapu humu Jf

Acha kumtukana kaka wa watu anataka Nyapu, he is gentle, thoughtful,Respectful, hili sio profile la mtafuta Nyapu, hili ni profile la mtu anyetafutwa sana na Nyapu kwa taarifa yako...

Mambo ya Said, mwache kaka wa watu apumzike!, kwanza si mlisema mnasaidia wake na mama zenu?!
 
Hahahaha mimi sio single mother, ila ningekua still nisingeruhusu mwanaume yoyote kuni treat like shit..kila mtu ashinde mechi zake..lol...sababu hata hao single mothers hao watoto hawakupewa na mijusi ni wanaume kama nyinyi mnaotreat wanawake kama shit proving ni nyinyi wanaume ndio selfish, msio na huruma, msio na shukrani (sio wote)
Na ndiyo maana nikasema shida iko kichwani.Maana hao wanaume hawaku force.

Kuwa single mother siyo shida,Tatizo ni kichwa chako.Kilaumu Kila siku.
 
Mnh huyu muandishi wa hii topic kama sio yule Robert..sijui

Hautakuwa kwenye committed relationship uka enjoy Matunda ta real love, never ever ! Kwa kudhani kila mwanamke yuko kwako ku gain something...tunakupa pole kwa kweli...

Yaani wewe utakua ulikua Mchoyo sana,ulivyokua mdogo. Poor you! Sikulaumu japokua umesema una mapesa sasa hivi, lakini umekulia maisha ya shida sana, umekua surrounded na poverty ndio maana uko selfish,sababu unaona pesa ya thamani sana, not to be wasted, not to be given to anybody.... sikulaumu mazingira na experiences tunazokulia ndizo zinazofanya tuwe confused tukiwa wakubwa...

Najua utakataa lakini ukweli ni huu...

1. Umekulia kwenye umaskini.

2. Una uchoyo hata kwa ndugu zako. Eti hapo kasema , atasaidia dada zake ila sio wanawake, hao dada sio wanawake?, sema wewe ni mchoyo, hutoi hela yako/msaada kwa yoyote na sio mwanamke peke yake, art of giving, haiangalii unatoa msaada kwa nani, kiwete au mzima, ndugu au sio ndugu, whether you get something back or not, au mwanamke na mwanaume ila ukiwa mchoyo ndio utafanya tofauti na hayo mambo.... eti humsaidii mwanamke sababu she has nothing to offer than mbunye...yaani unatoa msaada to get back something ndio unapproved wwe ni mchoyo... hivyo eti?! ...basi kasaidie wanaume wenzio upate di**ck!... maana jinsia ziko mbili tu mwanaume na mwanamke , na wewe unatoa msaada kwa kuexpect something in return, haya wanaume wenzio wana offer di**ck...

3, Wewe ni mtu uliyekataliwa sana na wanawake/ rejected because of poor status ukajiapiza ukipata hela hautampa mwanamke pole weeeee

Nyie watu mliokuwa confused na malezi, msituumie hii platform ya bwana Melo, ku influence upumbavu... na wanaume wengine wameingia kichwa kwenye huu ujinga...
Acha kulialia wewee tulia dawa iwaingie
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Usilie dada we tanua vizuri dawa ikuingie. Unaonekana umezoea kitonga sasa mada kama hizi zinakupa mawenge, kaa kwakutulia.
 
Wanajikuta wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya wanawake wasasa hivi umeona alichopitia saidi yule wa Mwanza kambadilisha demu alikuwa barmaid mpaka kumfanya awe mpambambaji wa maarusi na kumbi za harusi kawekeza muda na fedha kwake na akaenda mbali zaidi mpaka kumuoa kabisa lakini angalia malipo yake aliyoyapata ndio maana mtoa mada anasema Wanawake wengi especially wa kizazi hiki wengi wao ni wabinafsi na wasio na shukrani kijana usijitoe ufahamu kwasababu tu unataka nyapu humu Jf
asee nakwambia jamaa amepata anacho stahili wewe una mke unamwacha mke wako unaenda mjengea kimada mdangaji unawekeza kwake unategemea nini kama sio mauti..

Jamaa ni mjinga mana alijifunga na shetani na amemburuta mpaka kaburini

Tamaa mbele mauti nyuma askari anae jiuwa hapati heshima yoyote...
 
Mwanamke akiwa na shida, ndiyo muda wa kumueleza shida zako pia.

Ni mwendo wa WIN WIN situation.

Ukimtatulia shida zake ndiyo umueleze za kwako,You'll suffer!!😁.
 
Wanajikuta wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya wanawake wasasa hivi umeona alichopitia saidi yule wa Mwanza kambadilisha demu alikuwa barmaid mpaka kumfanya awe mpambambaji wa maarusi na kumbi za harusi kawekeza muda na fedha kwake na akaenda mbali zaidi mpaka kumuoa kabisa lakini angalia malipo yake aliyoyapata ndio maana mtoa mada anasema Wanawake wengi especially wa kizazi hiki wengi wao ni wabinafsi na wasio na shukrani kijana usijitoe ufahamu kwasababu tu unataka nyapu humu Jf
wakati said anatedwa mwanamke alikuwa anarudi kwa mume wake ambae yeye anaona anakuwa na amani..

said yeye akashidwa rudi kwa mke wake eti sababu amewekeza kwa mwanamke..
 
Unapoteza nguvu zako kupingana na maada.Wewe ni mwanamke pekee unayetaka kupinga kilicho andika.Haujishtukii Mkuu? Ujuaji tu ndo umekujaa

Yani nione wivu Kwa kumwambiwa mwanaume mwenzangu yeye ni husband material? Hiyo ni ngumu.Maana kuambiwa hata wewe unaweza kuambiwa wewe ni mzuri japokuwa si kweli. Ok.mwanamke mwingine aone wivu mm kukwambia wewe ni wife material? Mbona inashangaza... Maana kama vigezo ni vyako ulivyo tumia kusema na mm kutakuwa na vigezo vyangu nilivyo tumia kusema.Wivu???

Ignore.

Hahahahahah napoteza nguvu zangu kwani unanilipia bando? wewe una wasiwasi wa nini????ujuaji ni wewe mkuu, hata mtu akikufafanulia vitu unashupaza shingo!...na kuinterpret vitu differently kisa vinafit tu na jinsi unavyotaka vitu viwe.....

Halafu nimegundua una tatizo la kuelewa, comprehension yako ni -Ve!, siko hapa kupoteza muda kwa watu sio tu wenye uelewa mdogo wa mambo, bali pia wajuaji, pia wabishi, pia si wasikilizaji, pia wanaodhani wanwake ni mazimwi!, sidhani kama itakuwa wise mimi kuendelea kubishana na wewe mkuu, baki na msimamo wako nibaki na wangu, siwezi kuendelea kushushia vitu huvielewi,unainterpret differently...No way!, karibu siku nyingine kwa arguments... bye, peace!...yes mkuu Mervin kuanzia sasa naku ignore rasmi, feel free kuandika chochote, sitakujibu.
 
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.

Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.

Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.

Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .

Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.

Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.

Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.

Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.

Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.

Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.

Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
Huu ujumbe wako ngoja nimtag bidada Rebeca 83 na Mume wake mtarajiwa The unpaid Seller
 
Back
Top Bottom