Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mimi katika maisha yangu sijawahi tegemea hela ya mwanaume. Sijui kuomba omba etc. Nitajibana na mshahara wangu nihakikishe natatua mambo yote ya msingi. Mwanamke unafanya kazi halafu unaomba hela ya kusuka etc. Mimi nina rafiki zangu wa 2 wa kiume ambao tunasaidiana tukiwa na shida. Hao hata kama sina hela mkononi nitakopa niwape sababu nikiwa na shida ya hela hata 2m anaweza kunikopesha na nikipata tu narudisha, hata wao wananikopa wanarudisha wakipata. Mimi nikiwa na mpenzi, siku nikimuambia nakuja weekend kwako, nanunua kila kitu naenda kupika tunakula na ku enjoy . Sikuombi hata mia yako. Kama mmojawapo ana shida tunasaidiana kiroho safi lakini sio kuombana hela ovyo. Tujifunze kuwa wapenzi wa faida sio wa kunyonyana.
 
Kuna watakao sema uchongewe sanamu
 
Inabidi upate mwaliko wa ikulu ukakutane na mama !! Aisee dunia ingekuwa na wanawake kama wewe ingekuwa sehemu nzuri sana.
 
Inabidi upate mwaliko wa ikulu ukakutane na mama !! Aisee dunia ingekuwa na wanawake kama wewe ingekuwa sehemu nzuri sana.
Nilijifunza mengi kupitia kwa wazazi wangu. Kila mmoja alikuwa anachakarika kwa ajili ya familia. Dada zangu pia wako hivyo mmoja wana 31 years kwenye ndoa , walianza kwenye chumba kimoja sasa wako njema. Hapa tunavunja kamati mtoto wao wa kwanza kao juzi juzi.
 
Hili la ubinafsi hata kwa mke mkuu wala huna haja ya kumtenga. Ukifanya chochote kwa wazazi hata kuwajengea tu choo utasia eehhe kwenu tu ndio unapajali.
 
Uko sahihi kaka
 
Ndo ww ninaekuona kwenye avatar hapo juu
 
Duuh pole mkuu
 
Na kinacho tuponza wanaume ni huruma yetu.
Siku akipata mwingine wewe hutaurumiwa,wanakuaga na kejeli na dharau hutaamini.

Panga malengo yako lakini yasihusishe mwanamke,utakuja kulimia meno
 
Hongereni sana ndugu yangu.
Hio familia yenu ni bora na itabarikiwa sana.
Nimependa sana mtazamo wako juu wanawake baadhi yao.
 
Hata akiwa mke wako usimpatie siri zote, chochote kinaweza kutokea ijapokuwa hatutarajii ila chochote kinaweza kutokea.
Hawa viumbe ni wa ajabu,hata kwenye uumbaji wa ulimwengu mwanzoni, Mungu hakuwaweka ktk plan yake,ilikuja kutokea baadae sana ndio akaleta mwanamke,na hapo hapo akasema tuishi nao kwa akili

Kisha mambo yakaharibikia hapo 😂🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…