Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Atakaebisha hii kauli yako basi nae ni mwanamke , hawa viumbe ni wa ajabu sana , bora hata ya punda ambae ukimsaidia anakupiga mateke ila sio hawa watu wa kuitwa WANAWAKE.
 
Word…
 
Yes usishangae mama yako mzazi na mkeo wakaungana against you
Huwa Kuna kauli napenda kuitumia , mama yangu na mke wangu nawao ni wanawake tu kama wanawake wengine,

Hawa wezi kuwa wasafi sana na kukosa madhaifu Ambayo tuna yaona Kwa wanawake wengine, ila ni Kwa vile wako secured Kwa sababu ya vyeo walivyo navyo Kwa kutuzaa/ kuolewa na sisi
 
Shida hapa ni swala la mental attitude zetu tu kwa kawaida , sisi wanaume tuanafikiri kile tunachofanya kwa mwanamke ndo kinatija na kitakachomfany labd akupe thamani zaid kumbe sio kweli, kitakachofany mwanamke akuheshimu zaidi na akuone wathamani ni kile anachowekeza kwako ndo huwa wanahesabu nasio unachomfanyia wewe thats why utakuta wewe unamnunulia demu wako kila kitu, maybe gari, halafu unakuta aliyemwekea mafuta tu anakula mzigo unajua kwann? Kwasabab haijalishi mwanamke unamfanyia kitu gani, yaan wewe mnunulie gari mjengee nyumba, lakini mwengine hata akiwa anamjali kwa kumjulia hali tu kila siku hapo wote mnapata point sawa yaan kama ni 3 wote mtapata tatu na mzigo atampa. Kwhyo haijalishi nini unamfanyie wewe mwanamke, au mwengine anamfanyia nini point ni zile zile tu, kwhyo ukitaka mwanamke akupe thamani zaidi ni kumfanya awekeze vitu vingi kwako na sio wewe kuwekeza kwake hapo ndo wanaume wengi wanafail....
 
Una uhakika gani kuwa kila aliyeoa anakula chakuka cha mkewe? Usikariri.
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa si-atafute kazi afanye , Yaani huo utamu mliopeana ndani ya masaa kadhaa ndio anataka aufidie Kwa kumlipia Kodi na bills zinazo husu maisha yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi viumbe vya ajabu sana smdh [emoji848]
Mkuu viumbe vimeumbwa kwa udongo tifu tifu
 

Ungemwambia aje aichukue ghetto[emoji16]
 
Siku akipata mwingine wewe hutaurumiwa,wanakuaga na kejeli na dharau hutaamini.

Panga malengo yako lakini yasihusishe mwanamke,utakuja kulimia meno
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tena
 
Asante, sio hata pole ni kawaida sana lakini kwa kweli mwanamke hana huruma pindi anapomalizana nawe
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tena
 
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…