Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Wewe mwenyewe inaelekea hujielewi. Wote wanaolalamika hapa wameoa wasomi? Mbona wanapata changamoto nyingi tu kwenye ndoa. Nasisitiza tena hao unaowasemea hawajielewi. Uwe umesoma au la, kama hujielewi ni bure
 
Waambie haooooooooooooo.... halafu kusoma sio lazima kujiajiri, hajitambui huyo aliyekujibu, mzazi kule Chamwino, anauza mahindi mwanae aje kuwa na kazi nzuri, hategemei mwanae ajiajiri.....
 
Upo wapi mwanamke unaejielewa nimtume dereva hapa aje akuchukue uende kula kiapo cha uteuzi
 
Waambie haooooooooooooo.... halafu kusoma sio lazima kujiajiri, hajitambui huyo aliyekujibu, mzazi kule Chamwino, anauza mahindi mwanae aje kuwa na kazi nzuri,

Waambie haooooooooooooo.... halafu kusoma sio lazima kujiajiri, hajitambui huyo aliyekujibu, mzazi kule Chamwino, anauza mahindi mwanae aje kuwa na kazi nzuri, hategemei mwanae ajiajiri.....
Kila mzazi anapenda mtoto wake asome ili awe na maisha mazuri baadae. Iwe kuajiriwa au kujiajiri. Wao wasomeshe watoto wao halafu wanataka waoe ambao hawajasoma.
 
Hahahaha. Uteuzi tena wajemeni. Huku niliko ni zaidi ya uteuzi. Mimi najua ninachokiongea na ninakiishi.
Ndio masuper woman nyie tunaotaka bwana. Hawa wengi wee wacha wajida omba omba wataishia kugegedwa tuu
 
Kwa nini uwe una ombaomba , ridhika na kipato chako. Hata kama ni kidogo. Na nyie muache kuwapa hela ovyo, ndio mnawafanya wawe wajinga wajinga. Ukimpenda mtu kwa dhati huwezi kumpiga vizinga.
 
Sawa bwana tutawanyima...tutawasilisha hili jambo kwenye kikao chetu kijacho.
 
Wanawake ni changamoto ya hali ya juu zaidi tuliyowekewa na mnyaazi Mungu
 
B A R I K I W A sana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…