Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Pesa makaratasi ndugu, ulikuja uchi, utazikwa uchi/mtupu ma tanzanite, ma gold , mapesa utawaachia wengine watakula...is what makes the world as it is......poleni nyie.
Taja bei yako acha kusumbua watu,matangazo ni mengi..
 
Tatizo umechanganya rafiki na mpenzi so nimeshindwa kukuelewa upo kwenye angle gani ya mwanamke lkn mimi nitakujibu kwa angle ya mwanamke rafiki
Mimi nimewahi kufanya research Kati ya rafiki zangu 10 wa kike na rafiki zangu 10 wakiume nikagundua ni bora niendele kuongeza marafiki wa kike kuliko wa kiume, nilipatwa na tatizo wanawake wote kumi walikuja kunifariji lkn ni mwanaume mmoja tu alikuja kunifariji kwahiyo ukiniambia wanawake hawafai kwangu mimi sitakuelewa labda kama urafiki wako uliingiza mapenzi hapo siwezi kujua

Nadhani walikuja kukufariji sababu wana masilahi mapana na wewe kwenye taifa hili kwahiyo umelipia huduma mkuu
 
Mtoa mada unanitisha. Huku kuna mwanamke amejitoa kunisaidia kwa mambo kadha wa kadha. Huyu nimuweke kundi gani?

Kama anakusaidia hayo in the name of LOve.... basi siku mkipishana,,au vitu visiende anavoarajia, tegemea kukumbushwa hio misaada,masimango n.k..,,hio anafanya kama Hatimiliki,,na sio msaada...

Kama ni tofauti na nilivyoeleza hapo Juu,,, basi ni Jambo la heri kwako,, heshimu sana Binti wa Style hio,,,ni wachache sana hapa mjini,,,wengi ni wabinafsi sana..

Enjoy,,Life is not that serious.
 
Mkuu umegusa maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana. Niliwahi kuwa na rafiki wa kike wakati nipo advance tulikua tunakaa mtaa mmoja ila tukawa tunasoma advance mikoa tofauti. Nilitokea kumjali sana maana nilikua namsalandia. Nakumbuka vingi nilipoteza kwake ila kwakua nilikua na hisia nae sikuhesabu chochote.
Mungu sio athumani tukaenda chuo kimoja iringa mkwawa bando upendo uliendelea palepale tena zaidi nakumbuka nilimtoa lanchi nyingi sana. Nakumbuka muda aliokua akiishiwa bumu alikua anakuja geto anapika anakula na maisha yanaenda. Ilitokea me nikaacha chuo nikaludi home coz hiyo kozi niliokua naisoma ni kama sikuipenda nililazimishwa, tangu niludi hivi sasa ni mwezi wa 5 hajawahi kunipigia sim wa kutuma text. Nilijalibu kumpigia sim ila respond yake ikawa mbovu sana kuanzia hapo nikampotezea hadi leo

Nimeuona huu uzi umenikumbusha mbali sana. Big up broo
 
Vijana kama mnataka mzigo mwanamke ni wakumuomba fasta tuu.

No nation has benefited from prolonged warfare
 
Back
Top Bottom