kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Mbona unalia tena?Fanyeni mambo yenu,wanawake muwaache na mambo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unalia tena?Fanyeni mambo yenu,wanawake muwaache na mambo yao.
Taja bei yako acha kusumbua watu,matangazo ni mengi..Pesa makaratasi ndugu, ulikuja uchi, utazikwa uchi/mtupu ma tanzanite, ma gold , mapesa utawaachia wengine watakula...is what makes the world as it is......poleni nyie.
100000000000000000000000000000000000000, unayo?Taja bei yako acha kusumbua watu matangazo ni mengi..
Tatizo umechanganya rafiki na mpenzi so nimeshindwa kukuelewa upo kwenye angle gani ya mwanamke lkn mimi nitakujibu kwa angle ya mwanamke rafiki
Mimi nimewahi kufanya research Kati ya rafiki zangu 10 wa kike na rafiki zangu 10 wakiume nikagundua ni bora niendele kuongeza marafiki wa kike kuliko wa kiume, nilipatwa na tatizo wanawake wote kumi walikuja kunifariji lkn ni mwanaume mmoja tu alikuja kunifariji kwahiyo ukiniambia wanawake hawafai kwangu mimi sitakuelewa labda kama urafiki wako uliingiza mapenzi hapo siwezi kujua
Nyie si baba zetu eti??Tutawaachaje ...sii mtakufa na njaa nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima tuwafinye maana mmezidi njaa na ubinafsi.Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Labda Both sides changamkia PM100000000000000000000000000000000000000, unayo?
Huna, hata ukipewa both sides!..usinipotezee muda na wewe fala, unless ni huyo mjinga hapo juu kaja na ID nyingineLabda Both sides
una akili sanaNakupinga mkuu. Wapo wanawake wengi tu wenye shukran. Tatizo linaanzia unapomsaidia mwanamke ukitaraji msaada wako utamfanya akupende kimapenzi.
wanawake hawajaa njaa na ni wabinafsi, hatukuumbwa tuwe wabinafsi, angalia vizuri malezi yako...utagundua mama yako amefanya a lot of sacrifice for you!..angalia/chunguza vizuri bila kuwa na wengeLazima tuwafinye maana mmezidi njaa na ubinafsi.
Principle yangu ni moja tu kwa mwanamke NIPE NIKUPE
Mbona hao baba zenu hamuwaombagi hela ya wineNyie si baba zetu eti??
Vijana mnamambo ya hovyo sana,,,
Mtoa mada unanitisha. Huku kuna mwanamke amejitoa kunisaidia kwa mambo kadha wa kadha. Huyu nimuweke kundi gani?
🤣🤣🤣 Mbona umekasirika Sana?kuna lugha chafu kaitumia mtoa mada kuwakashifu wanawake hili sijapenda ila kwa ujumla hoja yake ina ukweli kabisaManaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Bahati mbaya sinywi wine,Mbona hao baba zenu hamuwaombagi hela ya wine
Njoo basi tunywe mirinda kwanguBahati mbaya sinywi wine,
Daddy yangu akininulia mirinda nyeusi wala simalizi[emoji2957]
Vijana kama mnataka mzigo mwanamke ni wakumuomba fasta tuu.Mkuu umegusa maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana. Niliwahi kuwa na rafiki wa kike wakati nipo advance tulikua tunakaa mtaa mmoja ila tukawa tunasoma advance mikoa tofauti. Nilitokea kumjali sana maana nilikua namsalandia. Nakumbuka vingi nilipoteza kwake ila kwakua nilikua na hisia nae sikuhesabu chochote.
Mungu sio athumani tukaenda chuo kimoja iringa mkwawa bando upendo uliendelea palepale tena zaidi nakumbuka nilimtoa lanchi nyingi sana. Nakumbuka muda aliokua akiishiwa bumu alikua anakuja geto anapika anakula na maisha yanaenda. Ilitokea me nikaacha chuo nikaludi home coz hiyo kozi niliokua naisoma ni kama sikuipenda nililazimishwa, tangu niludi hivi sasa ni mwezi wa 5 hajawahi kunipigia sim wa kutuma text. Nilijalibu kumpigia sim ila respond yake ikawa mbovu sana kuanzia hapo nikampotezea hadi leo
Nimeuona huu uzi umenikumbusha mbali sana. Big up broo