Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Hujui sababu ya wanawake kushikwa na majini?eti iko hivyo...yaani neno lako imekua ni sheria...?
Hamjaonyesha anguko la mwanaume sababu ni mwanamke...
Nachotetea mimi ni nyinyi mlioumizwa kuja kutema 'sumu' humu...kufanya vijana wadogo watuone wanawake ni mazimwi!
Eti Mungu kaumba mwanamke mfano wa shetani, wewe una matatizo sio bure!
Ulisha wahi kusikia mwanaume mwenye majini au mapepo??
Ulisha wahi kujiuliza kwanini nyoka alichagua kuongea na mwanamke na siyo mwanaume?
Hata bible yenyewe inasema mwanamke ni dhaifu,maana yake ana shida mahalaaa.
Shida Yako ni kutaka kujifananisha na mwanaume plus kutaka usawa.Mwanaume ni mwanaume.Wewe utabaki kuwa mwanamke tu
Hao vijana wanapewa tahadhari tu,wasije kusema hawakuambiwa. Choice ni yao.
ANGUKO LA WANAUME % KUBWA NI MWANAMKE.
Wajanja walisha shituka kitambo,
Kina Elon musk na Bezos na wengineo