Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

eti iko hivyo...yaani neno lako imekua ni sheria...?

Hamjaonyesha anguko la mwanaume sababu ni mwanamke...

Nachotetea mimi ni nyinyi mlioumizwa kuja kutema 'sumu' humu...kufanya vijana wadogo watuone wanawake ni mazimwi!

Eti Mungu kaumba mwanamke mfano wa shetani, wewe una matatizo sio bure!
Hujui sababu ya wanawake kushikwa na majini?

Ulisha wahi kusikia mwanaume mwenye majini au mapepo??

Ulisha wahi kujiuliza kwanini nyoka alichagua kuongea na mwanamke na siyo mwanaume?

Hata bible yenyewe inasema mwanamke ni dhaifu,maana yake ana shida mahalaaa.

Shida Yako ni kutaka kujifananisha na mwanaume plus kutaka usawa.Mwanaume ni mwanaume.Wewe utabaki kuwa mwanamke tu

Hao vijana wanapewa tahadhari tu,wasije kusema hawakuambiwa. Choice ni yao.

ANGUKO LA WANAUME % KUBWA NI MWANAMKE.

Wajanja walisha shituka kitambo,
Kina Elon musk na Bezos na wengineo
 
sasa hapo jamaa ndo amepotea sababu Bora angeowa mmoja alafu aone kama atatedwa tena kubadilisha sana ni mbaya zaidi. magojwa anapoteza muda pia pesa na pia ataishi kama mbwa hana familia sababu tu ya kosa la kujichanganya kwa malaya..
Hapo wakati huo alikuwa tayari ana mke mkuu...
 
Mama yake ana hekima sana.
amenijenga sana kweli najua wachunaji wapo ila naona wapo wadada wanachakarika siku hizi wanafanya biashara wanatembeza nguo huko na huko wamejiajiri kwenye masoko ..lakini mitaani hatuna amani vijana hawataki kazi wanatuvizia usiku na visu na nondo wamechukua maisha ya wengi.. watu wameibiewa kwa kuuwawa.. sawa wanakuja kubeba jeneza ila wao ndo wametuuwa usiku...bado nasimama na mama yangu na wamama wote wadangaji watajua na mungu wao mana nao wana maisha mafupi sana...
 
Hujui sababu ya wanawake kushikwa na majini?

Ulisha wahi kusikia mwanaume mwenye majini au mapepo??

Hao vijana wanapewa tahadhari tu,

ANGUKO LA WANAUME % KUBWA NI MWANAMKE.

Mimi siamini katika majini, im sure kama yapo yatakua ya ajabu sana kufuata wanawake na sio wanaume....au wote in this matter...ningependa kujua majini yameumbwaje ? nielezee tafadhali..au naturally ni ya kiume ndio maana yanafuata wanawake?lol

Eti vijana wanapewa tahadhari, kutoka kwenu nyie mliokuwa shaped na experiences mbaya????

Anguko la mwanaume asilimia kubwa ni mwanamke,pole we, hutaoa, na ukioa hutakua na furaha na ndoa yako, kila saa utakua unakaa kimachale machale.. tu
 
amenijenga sana kweli najua wachunaji wapo ila naona wapo wadada wanachakarika siku hizi wanafanya biashara wanatembeza nguo huko na huko wamejiajiri kwenye masoko ..lakini mitaani hatuna amani vijana hawataki kazi wanatuvizia usiku na visu na nondo wamechukua maisha ya wengi.. watu wameibiewa kwa kuuwawa.. sawa wanakuja kubeba jeneza ila wao ndo wametuuwa usiku...bado nasimama na mama yangu na wamama wote wadangaji watajua na mungu wao mana nao wana maisha mafupi sana...
Pamoja na yote still there milions of best women
 
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote wabinafsi na hawana shukrani.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
Hata mke wako unatakiwa uishi naye kwa akili
 
amenijenga sana kweli najua wachunaji wapo ila naona wapo wadada wanachakarika siku hizi wanafanya biashara wanatembeza nguo huko na huko wamejiajiri kwenye masoko ..lakini mitaani hatuna amani vijana hawataki kazi wanatuvizia usiku na visu na nondo wamechukua maisha ya wengi.. watu wameibiewa kwa kuuwawa.. sawa wanakuja kubeba jeneza ila wao ndo wametuuwa usiku...bado nasimama na mama yangu na wamama wote wadangaji watajua na mungu wao mana nao wana maisha mafupi sana...
i like you mkuu, you will make a perfect husband,lol, ukitaka kuolewa, angalia mwanaume mwenye ushusiano mzuri na mama yake!, au at least anaye appreciate mchango wa mama yake katika maisha yake!....na kuheshimu wanawake...kwa kweli umeoa? kama bado..kama kuna mdada humu yuko available huyu kaka sasa ndio type ya 'husband material' ..lol... 🤣 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Kuna siku utalia na sitakuwepo kukukumbusha maneno yangu. Mwanaume hautakiwi kuwa na huruma hasa na ke. Mkuu nikukumbushe tu hawa watu walizungumza uso kwa uso na shetani na wakakubaliana terms na shetani imagine.

Kilichompoza Adam ni huruma yake kwa Eva angekua bandidu kama The unpaid Seller angekua Eden mpaka leo na Eva angekua anasuguliwa mbuye na shetani hapa duniani.
Kaka nakuelewa Sana ila Kama Mungu amekujalia huruma huwezi acha kusaidia pili msitoe pesa zenu kwani lazima mnatoa wenyewe kisa Sex kosa la kwenu mapenzi hayauzwi wekeni msimamo.MWISHO KBS SEX NI KWA WANANDOA TU HAKUNA MJADALA TUACHE ZINAA.
 
i like you mkuu, you will make a perfect husband,lol, ukitaka kuolewa, angalia mwanaume mwenye ushusiano mzuri na mama yake!, au at least anaye appreciate mchango wa mama yake katika maisha yake!....na kuheshimu wanawake...kwa kweli umeoa? kama bado..kama kuna mdada humu yuko available huyu kaka sasa ndio type ya 'husband material' ..lol... [emoji1787] [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijaowa bado..
 
Mimi siamini katika majini, im sure kama yapo yatakua ya ajabu sana kufuata wanawake na sio wanaume....au wote in this matter...ningependa kujua majini yameumbwaje ? nielezee tafadhali..au naturally ni ya kiume ndio maana yanafuata wanawake?lol

Eti vijana wanapewa tahadhari, kutoka kwenu nyie mliokuwa shaped na experiences mbaya????

Anguko la mwanaume asilimia kubwa ni mwanamke,pole we, hutaoa, na ukioa hutakua na furaha na ndoa yako, kila saa utakua unakaa kimachale machale.. tu
Siyo kimachale machale.

Mungu kusema ishini na wanawake Kwa akili,unafikiri ni mchezo????

Hiyo kimachale machale ndo akili yenyewe.Hupaswi kwenda mzimamzima.

Au Mungu kusema ishini na wanawake Kwa akili alikosea?? Na yeye pia hana akili ,ana matatizo.

Kuna kitu aliona.Siyo mchezo mkuu.

Udhaifu ndo unafanya hayo mapepo na majini yawaingie na siyo jinsia za majini.Shida Yako ni kujifananisha na mwanaume.Hiyo battle mwanaume ni winner achana nayo.
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Wewe upo kwenye kundi la wanawake wanaojitambua na inaonekana umelelewa vizuri haupo kwenye kundi la wanawake ambao anaowasema mtoa mada wewe hata siku ukija kumuomba boyfriend wako kweli boyfriend wako anajua unashida serious na atakusaidia sio kwa wanawake wasasa wanaomba mpaka nauli unaingia kwenye mahusiano kwaajili ya kupata upendo, Amani ya moyo, kunyanyuana kiuchumi lakini unaenda kukutana nacho sio ulichotegemea ndio kwanza unaenda kuongeza stress, kurudishana nyuma kiuchumi unakamuliwa vyakutosha Sana ukitoka hapo upo hoi ndio maana dada yangu watu wameamua kutoa nyongo zao kwenye Huu uzi sio kwamba wanachuki na wanawake
 
Kaka nakuelewa Sana ila Kama Mungu amekujalia huruma huwezi acha kusaidia pili msitoe pesa zenu kwani lazima mnatoa wenyewe kisa Sex kosa la kwenu mapenzi hayauzwi wekeni msimamo.MWISHO KBS SEX NI KWA WANANDOA TU HAKUNA MJADALA TUACHE ZINAA.
Nani kasema anatoa pesa apate sex MBONA MNATUMIA NGUVU NYINGI KUTWIST MADA ?! Imejadiliwa mwanamke atalia shida ukimtumia hata shukrani hakuna ni kimya next text atatuma ni ameishiwa gesi au kodi imeisha je hili ni sawa kwa kiasi gani ?!
 
Back
Top Bottom