Ungenielewa usingeandika huu upuuzi,
Ukae na mwanamke kiakili ndio ukae kimachale chale?! Mungu akupe hekima ya kutafsiri maandiko yake vizuri..hujui usemalo!
Eti kuna kitu alikiona, wewe kama una akili kiseme hapa wazi!
Udhaifu, wanaume sio dhaifu???, kwanza nyie mlioumizwa ndio dhaifu,au mmefanywa dhaifu, sasa mngekua strong nani angewafanya dhaifu????
Sijifananishi na mwanaume, unanikosea bure, eti mwanaume ni winner..hahahh jinsi ninavokusoma wewe ni wale wale..mnao 'fit' kwenye profile la mtoa mada, hamuoni mwanamke ni mwanadamu kama wewe, anayepaswa kujaliwa,kusikilizwa, na kukubaliwa kwenye mambo mengine, ila ni zimwi linalotakiwa kuwa, ignored hisia zake,linalotakiwa lisijaliwe , wala kusikilizwa... yaani i can sense trouble kwenye hio ndoa yako inayokuja.