Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Am not a taker coz sijawai kusaidiwa chuo nimepambana mwenyewe Ni Mungu ndie msaidizi pekee,natukijua Hilo wanawake tukainui macho juu na kupiga magoti na kuomba kwa bidii kizazi hiki Ni shida.Mungu atusaidie sote.
Screenshot_20220605-123354_Chrome.jpg
 
Hapo zamani za kale kwa kutumia ID yangu flani hivi niliandika uzi flani hivi mijanajike miwili ya humu akiwemo huyu Rebeca 83 yakaanza kunisagia kunguni. After about 6 months nkamrudia lile janajike jenzake nkaliweka sawa mpaka likaingia king. Kilichofuata ni historia. Piga sana mbupu maeneo mbalimbali ya jijini. Then nkalifukuzilia mbali. Alikuwa na njaa sana shenzi yule. Muanzisha uzi umeandika jambo kubwa sana Leo.
Kwenda huko, koma kunitaja taja kwenye upumbavu wako...

Kama ulimrudia mkeo, ni wewe na decisions zako...sio Rebeca 83...

Koma kabisa!

Mimi sio msaga kunguni... 🤣 🤣 🤣 🤣 😡 ✌️
 
i can totally understand you kawaweka au kawaonyesha how a man should behave...mmepatwa na wivu hahahaa... ni kweli he is husband material, otherwise onyesheni sio, halafu tuwaonyesheni ndio...
Wivu kisa wewe ni nani ? Kipi kipya ulicho nacho.

Wivu Kwa lipi? Hauko Sawa. Yani kisa wewe umemwambia ni husband material sisi tuone wivu????

Hivi unaweza kuona wivu Kwa mtu asiye onekana zaidi ya maandishi yake tu.

Hauko Sawa aisee....
 
Am not a taker coz sijawai kusaidiwa chuo nimepambana mwenyewe Ni Mungu ndie msaidizi pekee,natukijua Hilo wanawake tukainui macho juu na kupiga magoti na kuomba kwa bidii kizazi hiki Ni shida.Mungu atusaidie sote.
Huwa mna sahau sana.Sishangai kusema haujawahi kusaidiwa.
 
Huelewi Mkuu. Hujaona nilipo andika msaidizi.Wapi nimesema asisikilizwe?? Acha kukurupukaa.
...Wewe unayemuona mke sio kiumbe cha kujaliwa, ndio umsikilize...??? hivi unajua kujali ndio kusikiliza kwenyewe.??.soma uelewe sio Maandiko Matakatifu tu bali hata yanayoandikwa mahali popote uwe unachukua time ku ponder, tatizo lako uko biased, ndio maana huelewi, una interpret kinachoandikwa differently, ushajiona mpaka hapo wewe ndio mkurupukaji?!
 
Kwenda huko, koma kunitaja taja kwenye upumbavu wako...

Kama ulimrudia mkeo, ni wewe na decisions zako...sio Rebeca 83...

Koma kabisa!

Mimi sio msaga kunguni... 🤣 🤣 🤣 🤣 😡 ✌️
Hahahahahah. Bahati yako I never chose you. Nilikuona na bado nakuona huna issue kupitia post zako. Ni kama bibi flani tu hivi sugar mummy ambae lina bwawa kubwa na hata mtu ukienda utaishia kuogelea tu. Hahahahaahah. By the way nimesema tu mkuu wala usitafute battle na mimi. Qmmako malaya mkubwa wewe
 
kama ni nature yao kupenda kupokea basi haina shida maana navyojua sisi wanaume ni nature yetu kupenda kutoa. ni Mungu alivyoumba mkuu haina shida kabisa. mbaya ni ikiwa unajisahau hata kujihudumia wewe mwenyewe kwa ajili ya tu ya mwanamke wako
 
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
hata vijana wamebadilika mkuu zamani huwezi kuta kijana anafanya unyanyasaji wa hivi mkuu.
 
We jamaa naona unaseti mipango ya kumpiga tukio single mother wa uzi wetu, hongera najua unatumia mbinu za kijasusi kujifanya uko upande ule, ila kua makini usije pigwa tukio wewe.
Kijana analeta mbinu za miaka 80 huko kwenye kipindi hichi
 
...Wewe unayemuona mke sio kiumbe cha kujaliwa, ndio umsikilize...??? hivi unajua kujali ndio kusikiliza kwenyewe.??.soma uelewe sio Maandiko Matakatifu tu bali hata yanayoandikwa mahali popote uwe unachukua time ku ponder, tatizo lako uko biased, ndio maana huelewi, una interpret kinachoandikwa differently, ushajiona mpaka hapo wewe ndio mkurupukaji?!
Wapi nimeandika swala la kusikilizwa??? Au ni Kwa uelewa wako.Swala la kusikilizwa umeandika wewe,Ndo maana nikakwambia wewe ndiye mkurupukaji.Una andika kitu ambacho Mimi sija andika.Kuwa single mother siyo kosa lako,ni kichwa chako.
 
Kwenda huko, koma kunitaja taja kwenye upumbavu wako...

Kama ulimrudia mkeo, ni wewe na decisions zako...sio Rebeca 83...

Koma kabisa!

Mimi sio msaga kunguni... 🤣 🤣 🤣 🤣 😡 ✌️
Halafu nyinyi mnaojifanya wapambanaji ndo malaya kama nyinyi hakuna umbwa nyinyi. Alikuwepo humu mmoja akijifanya anadili za madini kumbe muuza nyapu tu. Wewe tulia wewe nyoko tu.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wivu kisa wewe ni nani ? Kipi kipya ulicho nacho.

Wivu Kwa lipi? Hauko Sawa. Yani kisa wewe umemwambia ni husband material sisi tuone wivu????

Hivi unaweza kuona wivu Kwa mtu asiye onekana zaidi ya maandishi yake tu.

Hauko Sawa aisee....

Eti kipi kipya nilichonacho, wewe una kipya kipi kwani????

Wivu yes, tatizo lako ni immaturity, wewe ni kijana mdogo sana sidhani kama hata umefikisha miaka 30...

Wivu, sio lazima umuone mtu physically, au umuone ame acquire mali,gari,elimu sijui mke...

Wivu saa nyingine, hata kumuona mtu amekua accepted kwa mchango wake, katika jamii...

Unakua annoyed, why him and not you...

Unanipotezea muda na nguvu nyingi, kukufanunulia kwa ujuaji wako...

Nafikiria kuanza kuku ignore...

Unaniboa
 
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...

Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
tatizo wamepokelewa vibaya hata wake zao wamewaowa wakaanza na ukatili hapo hapo usitegemee mwanamke atakuvumilia...

Tena kwa ulimwengu huu wa kisasa wa usawa lazima utumie busara zaidi kuliko ubabe.

Unawezaje kuwa mkatili kwa mtu anae kupikia chakula???
 
Ungenielewa usingeandika huu upuuzi,

Ukae na mwanamke kiakili ndio ukae kimachale chale?! Mungu akupe hekima ya kutafsiri maandiko yake vizuri..hujui usemalo!

Eti kuna kitu alikiona, wewe kama una akili kiseme hapa wazi!

Udhaifu, wanaume sio dhaifu???, kwanza nyie mlioumizwa ndio dhaifu,au mmefanywa dhaifu, sasa mngekua strong nani angewafanya dhaifu????

Sijifananishi na mwanaume, unanikosea bure, eti mwanaume ni winner..hahahh jinsi ninavokusoma wewe ni wale wale..mnao 'fit' kwenye profile la mtoa mada, hamuoni mwanamke ni mwanadamu kama wewe, anayepaswa kujaliwa,kusikilizwa, na kukubaliwa kwenye mambo mengine, ila ni zimwi linalotakiwa kuwa, ignored hisia zake,linalotakiwa lisijaliwe , wala kusikilizwa... yaani i can sense trouble kwenye hio ndoa yako inayokuja.
Sio wanawake wote hawapaswi kusaidiwa wapo ambao watakaokuwa na sifa ya kusaidiwa especially wale ambao pia ni watoaji
 
Wapi nimeandika swala la kusikilizwa??? Au ni Kwa uelewa wako.Swala la kusikilizwa umeandika wewe,Ndo maana nikakwambia wewe ndiye mkurupukaji.Una andika kitu ambacho Mimi sija andika.Kuwa single mother siyo kosa lako,ni kichwa chako.
hahahah hata ukisema nini sijali, single mother, sijui nini... i dont care.

Ngumu sana kwa watu wa type yako kusikiliza wanawake.

Take it or leave it.
 
hahahah hata ukisema nini sijali, single mother, sijui nini... i dont care.

Ngumu sana kwa watu wa type yako kusikiliza wanawake.

Take it or leave it.
Huo ni mtazamo wako mkuu.Maana Mimi sijasema hivyo.

Kuwa single mother siyo kosa lako,Tatizo ni kichwa chako.Kilaumu Kila siku.
 
Sio wanawake wote hawapaswi kusaidiwa wapo ambao watakaokuwa na sifa ya kusaidiwa especially wale ambao pia ni watoaji

Finally we have agreed mkuu... tunachopinga sisi ni general conclusion wanawake wote ni wabinafsi, wasiopaswa kusaidiwa, mwanamke kutoa ama kutotoa hio ni ya kwako mkuu..kila mtu ashinde mechi zake..
 
Back
Top Bottom