Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Haujasoma vizuri comment yangu. Mwanamke ambaye siyo mkeo unatakiwa kwa mwezi isizidi 20,000. Hata mkeo pia usimpe hela ya matumizi yake binafsi zaidi 50,000. Zingine wekeza kwa watoto na maendeleo kwasababu ukiwa na hela mkeo atakuona wa maana sana ila ukiishiwa utabaki wewe na watoto tu.
sasa mbona umejikanyaga lakini mwishoni umejua ukweli ulipo. hao wengine hawakukupenda mkuu ,huyo wa sasa ndio anayestahili kupewa
Sent using Jamii Forums mobile app