Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Nakazia ujumbe wako Lamomy
 
Kila nikitaka kuzaa nakumbana na hizi Post naishiwa PAWA
Tafuta hela mdogo wangu, hakikisha utaweza kumudu malezi ya huyo mtoto kabla hujazaa.

Zingatia ushauri wa Leo dada nimeupin πŸ“Œ ndiyo reply ya kwanza, na pia ukasome uzi wa waziri Gwajima, akili izidi kukukaa sawa.
 
Inapendeza sana πŸ™πŸ™Œ
Tunashukuru Mungu kwa tamaduni na dini zinazoelekeza mahusiano, kujali majukumu na malezi bora kwa namna hii.
Nashukuru pia, mtoto wa baba mkwe ananitii, ananiheshimu na ananisikiliza katika familia najiona kweli ni baba na nikichwa cha familia maana kila kitu mimi ndio napanga nikikwama ananishauri

Wote tumesoma na wote hatujaajiriwa nimemwambia tupambane tuone njia hii itakuwaje akasema sawa hatujawahi feli namshukuru Mungu.

Kiuhalisia ni kuwa mkiishi kwa malengo mengine tofauti na uchumi na pesa mapenzi yatadumu Sana tena mtaishi kwa raha hata kama hamna hata mia ya kula. Matakwa ya ndoa kwa uislamu ni kutimiza amri za Mungu kama takwa la kidini mkiishi humo hamna kitakacho halibika
 
Wewe una upwiru wa miaka mingapi?
Umeenda kuedit nyuzi yangu kujiambia unachotaka kusikia 🀣 au kweli wewe ni kenge 🀣
Sina upwiru,nimet#!!@!!mba jana usiku mzima nimemaliza bao sita za nguvu

Hapana sijaenda kuedit nyuzi yako na kujiambia ninavyotaka kusikia mkuu

Nimesoma nyuzi yako yote ndo nikaona sehemu niliyoinukuu wanaume umetuita kenge

HAPANA MIMI SIYO KENGE
 
Safi sana mkuu
 
β€œUnajua tatizo si kwamba wanaume wanakufa mapema – tatizo ni kwamba jamii imewatwika majukumu mazito, msongo wa mawazo, ukosefu wa emotional support, na bado hamuoni umuhimu wa kuwajali hadi wakishakufa.
Nina watoto wa kiume tu na nishawahi kuandikia kuhusu hii topiki miezi kadhaa iliyopita. Ipitie hapo chini.
Badala ya kujadili lini tutakufa, kwa nini tusijadili namna ya kushirikiana kwa upendo, kusaidiana kupunguza pressure, na kujenga maisha yenye usawa? Huo mtazamo wa kungoja mwanaume afe ndio maisha yaanze ni wa kishenzi sana.
Hakuna mtu ameongelea kungoja wanaume kufa, nimesema wanawake wawe na nguvu za kiuchumi na wawe tayari kulea watoto wakibaki peke yao kwa sababu yoyote ile including kifo.
Hatujui tutaondoka lini, wote wanaume na wanawake tuandae mazingira ikitokea tumeondoka watoto wetu wasiteseke.
 
KATAA NDOA wanaendelea kupata credits
 
Sijui kwanini watu mnapata makasiriko kuhusu hili. Hakuna mtu anakitaka kifo wala anaombea watoto wake wafiwe na mzazi.

Hapa tunawashauri wanawake wajizatiti kulea watoto peke yao ikitokea wamepatwa na changamoto yoyote, iwe kuachana, kutelekezwa au mzazi mwenzake kutangulia mbele za haki.

Sasa wapi kwenye huu uzi wangu nimeongelea mambo ya urithi au kusubiri mume afe? Hebu kasome tena!
 
Asanteni kwa kuwa mfano mzuri, inapendeza sana.
Ikawe heri kwenu, muendelee kudumu na kuwa na furaha kwenye ndoa yenu.
 
Ni kweli ujaongea lakini mtazamo mkubwa kwa wanawake na uwona hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…