Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Aisee Safi saana, kumbe jf bado ina hazina
Tunaiomba serikali sikivu, picha yako ikae sambamba na yule Askari wa posta
 
Nimepokea mamy
 
Asanteni kwa kuwa mfano mzuri, inapendeza sana.
Ikawe heri kwenu, muendelee kudumu na kuwa na furaha kwenye ndoa yenu.
Ila kusema ukweli wadada wa kikiristo jitahidini kushikilia mila zenu kama dini bado inawapa uhuru wakati wa kuanzisha mahusiano katika harakati za masomo nimekutana na wadada watatu

Wa kwanza nimesoma nae o level huyu ni muislam nilitupia kila aina ya ndoano ila kikifika suala la kushiriki tendo alikataa kabisaa na hadi kunichukia huyu tulivyomaliza tukawa tunawasiliana tu ila sio mahusiano ya kiviile maana sijawahi kukutana nae kimwili mpaka namaliza Alevel(Alevel tulikuwa boyz)

Wapili nimekutana nae chuo huyu pia alikuwa muislam nae nimepelekeshana nae lakini alinikataa kushiriki nilijenga nae mazoea hadi akawa anakuja home maana nilipanga of campus lakini alikuwa na misimamo sana sasa huyu sikukaza Sana kwake baada ya kukutana na watatu

Huyu alikuwa mkiristo binti mmoja mfupi kidogo mwenye tako la kwenda yani ni Ile mikato yangu kabisa nikatupia ndoano akakubali tukawa kama mume na mke hadi wale wengine nikawasahau na hata mawasiliano nilikata nikawa na huyu binti. Kasheshe ikaja akataka anizalie akawa ananiomba anibebee mimba nikawa nakataa kwa sharti kuwa labda abadili dini nimuoe ndio tuwe na mtoto maana kamwe sitaki kuwa na mtoto wa nje ya ndoa hii nimejiwekea katika maisha yangu

Kiukweli alikataa kabisa kubadili dini namimi nikamkazia asibebe mimba na nikaongeza umakini. To make story short, tuliachana na alihama Dar sijui alienda wapi Mimi nikaamua kumuoa yule wa o level hadi sasa nipo nae tunaoshi tu vizuri

Ujumbe: wadada wa kikiristo wengi hawafundwi dhambi ya kushiriki tendo bila kuielewa na wanadhani kubeba mimba ndio guarantee ya kuishi na mume kinyumba au kuolewa
 
Hiyo kampeni fanya wewe
 
Chap soma nifute mana kuna wachawi humu manina zao wamenifata pm wanasema siku wakinidaka mafuta yatanihusu..
Mbwa hawa siwaogopi sheeenziuuuuu zenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya andika nisome chap 😆

Ila wachawi wanaogopa utawaibia wake zao 🤣🤣
 
Haya andika nisome chap 😆

Ila wachawi wanaogopa utawaibia wake zao 🤣🤣
Na wewe unafeli mbona kuna comment nimeweka screenshot hapo....
Skia dada ananiambia ety aje akiwa amevaaje ..

Nikamwambia vaa vyote ila shanga zile za golden zenye vinundu usisahau ahahahaha...

Alafu hapa jana nimetoka kukiwasha an sijui kama tapafomu vzr . Mama dua zako zinahusika nisije aibika mwanao
 
Utakua umesahau kuweka screenshot buana 😂 😂 😂 sijaiona
 
Wallah nimeweka na kufuta maana naanza kuogopa si nimekuambia kuna mijitu imenitishia pm kule..

Kuna mafala wananijua wanaweza tangaza dau hapa alafu nikapatikana chap 🤣🤣🤣🤣🤣
Una heka heka sana na wewe daaah 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…