Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Kuna wadada suala la kuzaa wanalichukulia simple simple Sana! Yaani kajamaa tu baada ya kulewa visungura kanamwambia nizalie kama kweli unanipenda nayeye anaingia kingi Pumbavu kabisa๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Pumbavu sanaaaaaa, ni ujinga uliopitiliza ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ
Wasichana wazae wakiwa tayari na wakiwa na uwezo wa kujimudu / kujitegemea.
 
Haya mchana huu umepata hata kanap jamani.
Sitaki upate exhaustion tuahirishe safari.

Ni kweli kabisa, mental health issues na cruelty vitaongezeka, tunatengeneza matatizo makubwa huko mbeleni.
 
Hizi mada waislamu hazituhusu nilipokuwa naozeshwa walii/baba wa mtoto aliniambia kuwa

"Mzee/mwanangu nakuozesha binti yangu kwanzia sasa majukumu niliyokuwa nayafanya mimi sasa hivi ni majukumu yako kumvisha, kumlisha, na kuhakikisha anakaa makazi salama. Pia kama kuna malezi sikuyafanya mie jukumu ni la kwako kwanzia sasa kumlea katika malezi bora amjue Mungu na afanye ibada kwangu hiyo dhima nimeivua kuanzia leo"

Kwa kifungu hicho kinanifanya niwajibike ๐Ÿ’ฏ kwa mtoto wa baba mkwe na kitokanacho na manii yangu nitakihudumia mpaka atakapofikia umri na yeye wa kuoa ama kuolewa kama nilivyo mkuta mtoto wa mama/baba mkwe na haya ni maagizo ya dini yetu na ni utaratibu mzuri kabisa wa kuishi
 
Ulikua wapi sikuzote? Huu ushauri ungeutoaga kwa mama yake mama Samia Suluhu saivi watu wasingekua wanafirwa na mapolisi. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hii siyo lugha ya staha.
Reported ๐Ÿ›‘๐Ÿ“›โ€ผ๏ธ
 
Mamie umesema vizuri, nguvu ya kiuchumi ni lazima kwa mama, zaa ukiwa na uwezo wa kuhudumia mtoto wako pale ambapo mwenza wako hatakuwepo kwa sababu yoyote ile.

Kwenye hii nyuzi wanawake mnashauri vizuri mno, asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ