Very sad, yaani kuna wakati nilishindwa kuendelea machozi yakawa yanatoka nilikuwa natoka Bristol kuja London yaani we acha tu. Ila nilichojifunza, tuwe wakarimu kwa wenye shida, lugha zetu ziwe rafiki. Yule bosi wake aisee alikuwa ananikera mno, na yule polisi. Ila U single mama mbaya sana.Nimeiona, very sad π’π
Mtoto mgonjwa, umaskini umepitiliza mpaka mtu anapata mental breakdown.
Ndiyo mpwa, kuna ushauri mzuri umetolewa humu, utume huu uzi kwa mkwe wangu ajisomee mwenyewe.Eh! Wanadamu wameanza kuambiana wasizaane tena! Hii ni maajabu
Siwezi kukubishia mkuu, nitakua nimekosa utu.Sad. Huna hoja mdogo angu. Huna
Ni kweli ndoa siyo guarantee, ila ukijizuia kuzaa mpaka uolewe unakua umerasimisha mahusiano na unafahamu familia ya unayezaa naye (japo haitokusaidia kwenye malezi mwenzako akiondoka.) Sisi watu wazima tuliopitia mambo ya vifo na mirathi tunajua pia umuhimu wa ndoa yakikutokea matatizo kama ya kufiwa (japo kwenye huu uzi watu hawataki kusikia kwamba wanaweza kudondoka muda wowote na kuacha watoto wao wakihangaika).Kwani aliye kwambia akikuowa hawezi kukuacha na kukutelekeza na watoto wako ni nani ? Mimi nimeona ndowa zilizo dumi miaka mitatu na watoto watatu na mme akasepa. Mke akabaki analea.
Huu ushauri mzuri na nimeutoa pia, nakubaliana na wewe asilimia π―Ushauri mzuri ni kuwambia wanawake wajuwe suala la kulea watoto ni jukumu la wazazi wawili . Wahakikishe kabla ya kuolewa wanajenga uwezo wao wa kiuchumi kwanza. Ili waingie kwenye mahusiano kama equal partners.
Hii pia ni kweli kabisa π―π―πHakuna wmanaume anaweza kumwacha mwanamke anaye saidia kuongeza kipato cha familia. Ukiona mwanaume anacha familia ujuwe amepinga mahesabu akaona kuna faida kuacha kuliko kuendela na majukumu.
Sasa kama hujui maana ya "kulea mtoto" au "malezi" basi tuishie hapa kwenye haya mazungumzo π-Labda neno "KULEA" maana yake ni nini?
Najua ndiyo maana tunawakumbushaHujui nguvu ya upwiru mwingi ilivyo kwa hao unaowashauri...
Dhambi juu ya dhambi π€£ π€£Kumshauri mtu atumie condom kufanya dhambi ya uzinzi ni dhambi...
Sikua najua hilo!Unalijua hilo?
π π―Siku mwanamke akielimika/kuwa na akili. Jamii itakombolewa π€£
Basi jitahidi kuwashauri wasithubutu kuonjwa kabla ya ndoaNajua ndiyo maana tunawakumbusha
Dhambi juu ya dhambi π€£ π€£
Sikua najua hilo!
Hapana, ni nyuzi ya kuelimisha mabinti, siyo vita.Kumbe hii thread sio uwanja wa vita?
Daaah umenichekesha sana π€£Utazaa tu usipozaa Chango la uzazi litakufundisha kazi ya tumbo la uzazi
Sawa shangazi umeongea point nzuri sana,lakini vipi sasa suala la kunionjesha. πKama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse π«β!
Sawa sawa kiongozi wanadai Sisi ndo tunaanza kufaWanawake sijui huwa mna akili za namna gani asee, sasa wewe unaona ndoa ndio kitu kinachoweza kumzuia mwanaume fedhuli asiyejali majukumu yake kukuletea mapicha picha hapo mbele??!!! No wonder mkiingia kwenye ndoa huwa mnaanza kuota mapembe kwa kuona mmemaliza yote, na hapa ndio wanaume na sisi tunawonyesha kuwa huu mchezo hauhitaji hasira.
Hapa ndio huwa naona nilichukua uamuzi sahihi wakuachana na masuala ya kutaka kuoa, kuoa kwa enzi hizi ni sawa na kufuga kijini kidogo ndani yako kinacho kuangamiza taratibu. Unaingia kwenye ndoa na mtua anayewaza 'Je ukifariki' huu ni ushetani wa hali ya juu sana
Wazee wa zamani hao, akioa analeta mke kwenye boma na anampa nyumba na mashamba ya kulima. Kila mama na watoto wake wanalima, wanafuga na wanajihudumia.Mimi baba yangu alikua na wanawake watano, watoto 28. Kila mwanamke alikua na jukumu la kulea watoto wake. Sijwahi kusikia malalamiko yoyote kwa mzee kwamba hahudumii watoto. Kuna majukumu ya mzee na majukumu ya akina mama.
Mimi kabisa niwe mwanaharakati π, wewe utakua mgeni upande huu wa JF π€£Hata ungejifanya mwanaharakati mgegedo mgegedoni tu
Pole mdogo wangu π«Kungwi umechelewa kuniambia π©π©
Utakufa - hiyo ni fact na huwezi kuibadili.Wanawake washenzi sana wana waza ujinga tu ety wanaume tunakufa mapema
Nionyeshe hiyo chuki niliyoonyesha iko wapi.Mbona ujumbe wako unahamasisha chuki kwenye jamii je, huu sio uhaini dhidi ya utu wa mwanaume?