I guess tutoana siku ikifika!Hujajibu maswali yangu, une9ngwza swali.
Hata mini nakubali yote ukiyoyasema.
Lakini maandamano siku ya uchaguzi yatasaidia vipi kuiondoa CCM?
Au ni maandamano ya kuonesha frustrations za watu tu kwamba watu wengi hivi hawaukubali uchaguzi?
Kwani mpaka sasa unaona legitimacy ya serikali ya Tanzania, kwa watu ambao wanaweza kuangalia mambo hayo, haijaumia?Kuandamana siku ya uchaguzi kuna immediate and maximum impact.
Impact yake ni political. Legitimacy ya Serikali ijayo inaumia. Inakuwa haina tofauti na utawala wa kiimla. Utawala unaweza kudumu lakini hauna legitimacy kwenye mioyo na macho ya wapenda demokrasia wote.
This logical fallacy is called ad hominem.Umezeeka. Kama huna wajukuu, lima hata bustani.
Sasa mkiandamana ndiyo mtafanikisha nini?Mkuu unaandika utafikiri juhudi hazijafanywa bana, kwani tumefika hapa si sababu shingo zimezupashwa? Matokeo ndio hayo, wananchi wanakikomo! Na sisi si ndio wenye nchi?!
Utajua baada ya Maandamano Mkuu, funga mkanda vizuri🌚🌚Sasa mkiandamana ndiyo mtafanikisha nini?
Wanaoiba kura watashindwa kuiba kura kwa sababu mmeandamana siku ya uchaguzi?
Ni vigumu sana kwa mtu mwenye kufikiri rationally kuona kuwa maandamano yatasaidia lolote.Utajua baada ya Maandamano Mkuu, funga mkanda vizuri🌚🌚
Hata kama legitimacy imeshaumia, ikiumia zaidi shida iko wapi?Kwani mpaka sasa unaona legitimacy ya serikali ya Tanzania, kwa watu ambao wanaweza kuangalia mambo hayo, haijaumia?
Na kwa wasioangalia sana mambo haya, legitimacy ya uongozi wa sasa itaumiaje?
Tayari mnajua CCM wanaiba kura.
Mkifanya maandamano halafu CCM wakaiba kura na kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maamdamano, huoni kuwa maandamano hayo hayatasaidia chochote na zaidi yataiongezea CCM legitimacy tu kwamba itaweza kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maandamano ya kuwachochea wasishiriki?
Sijawahi kusema nina jibu la njia ya kudeal na hii repressive regime.Hata kama legitimacy imeshaumia, ikiumia zaidi shida iko wapi?
Kutokufanya maandamano is even worse. Watatoa fake statistics za uchaguzi na hakutakuwa na basis ya kuzishambulia. Kama hundreds of thousands ya wapigakura wameandana kujitenga na huo uchaguzi, obviously hizo takwimu zinakuwa questionable.
Umetumia muda mwingi kupinga hayo maandano, lakini umeshindwa kusema njia mbadala yenye tija ya jinsi ya ku-deal na hii repressive regime. Put yourself in their shoes, katika mazingira halisi waliyomo.
A fake Muzungu.This logical fallacy is called ad hominem.
I am sure you do not know what that is.
Ad hominem plus non sequitur logical fallacy.A fake Muzungu.
Unfortunately, you were born BLACK, and there is nothing you can do about it.
Na ikitokea?Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana
Hoja yako ingekuwa na maana kama watu unaowazungumzia wangekuwa na principles zozote wanazozingatia, tatizo watu unaowazungumzia hawaamini chochote isipokuwa kupata power na kuendelea kuwa kwenye power kwa njia YOYOTE ile.Katika nchi inayofuata rule of law and non violent protests, na kupima hoja in the marketplace of ideas rather than violent confrontations, kama uchaguzi ni haramu, wanaoukataa huo uchaguzi walitakiwa kuwa na uwezo wa kuwaeleza wananchi uchaguzi huu ni haramu, na kuupinga kwa maandamano all the way mpaka hata siku moja kabla ya uchaguzi.
Halafu siku ya uchaguzi wawaachie wananchi wafanye uchaguzi bila bughudha yoyote. Na wasiotaka kufanya uchaguzi wakae majumbani mwao wasusie uchaguzi.
Kama hoja za wasiotaka uchaguzi zina mashiko na zimeshawishi watu, watu wataandamana hata kwa kususia uchaguzi na kukaa majumbani mwao.
Kutopiga kura katika uchaguzi pia ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na uchaguzi huo.
Kufanya maandamano siku ya uchaguzi ni kuwapa point watu wanaosema kuwa watu wasiotaka uchaguzi wanataka kuwafanyia fujo wanaotaka kutimiza haki yao ya kupiga kura.
Na hapo ndipo mtawapa Polisi sababu na justification ya kupiga watu risasi na virungu kwenye hayo maandamano.
Mmeshindwaje kuandamana siku zote hizo mkasubiri siju watu wanajifanyia uchaguzi wao ndiyo na nyie mtake kuandamana siku hiyo hiyo?
Huoni kuwa huo unaweza kutafsiriwa kuwa ni mpango wa kuleta fujo siju ya uchaguzi tu?
Ss maandamano yanahusiana nn na upinzani? Ndo walioanzisha?Akili kubwa sana wewe. Jamaa wa upinzani wana mihemko mingi sana.
Sasa kuandamana siku ya uchaguzi kupinga watawala wenye power ambao hawakubali principle yoyote kutasaidiaje kuwatoa kwenye power?Hoja yako ingekuwa na maana kama watu unaowazungumzia wangekuwa na principles zozote wanazozingatia, tatizo watu unaowazungumzia hawaamini chochote isipokuwa kupata power na kuendelea kuwa kwenye power kwa njia YOYOTE ile.
Charlamagne tha God: “Gavin Newsom has been doing what I’ve wanted a Democrat to do for a long time. When they low go either you ignore them or you go to hell. He’s matching energy and I like it.”
Mkuu sioni haja ya kuweka watu ignore list, kama kweli unapenda haki, bas kuwa flexible ku receive positive na negative thoughtsAd hominem plus non sequitur logical fallacy.
I am placing you in my ignore list. You do not deserve the privilege to engage me.
Hapana.Mkuu sioni haja ya kuweka watu ignore list, kama kweli unapenda haki, bas kuwa flexible ku receive positive na negative thoughts