Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Kwani jengo liko mtaani gani nikalitembeleee
 
Naona ma-laymen wengi wameandika wasichoelewa kwenye uwakili endapo mmejiunga na kuweka kikundi au kampuni(law firm) muundo wa huo umoja unakua katika partnership na kwenye Advocates Act ili uweze kua partner lazima uwe wakilo hivyo partnership yako inakoma endapo umeacha au umeachishwa kua wakili..huyu mama walivyo msuspend kua wakili hiki kilichotokea kilikua lazima kitokee ni swala la muda tu
 
we kati ya vilaza fatuma ni wakili mwenye uwezo mkubwa kwa kujenga hoja na kauza jina sna pale Fatuma ni wakili ambae anaweza argue kesi kwa kingereza fruequent hata uk fatuma anaweza kukutetea
Mbona mawakili wa serikali ni wazuri kumzidi Fatma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…