Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Tundu Lissu ameomba huruma kwa wananchi wamchangie ili apate gari lingine, alivyo mjanja sasa alikaa na Maria sarungi ambaye hana shughuli za kufanya wakatengeneza dili LA kupiga hela,kwamba maria aanzishe mchango na Kisha atakula 10%, kimsingi gari la lissu lilikuwa na bima na lissu ni lawyer na anajua madhara yakuendesha gari bila bima, ss inakuwaje unaomba uchangiwe hela ukanunue gari wakati gari ilikuwa na insurance, halafu tang uanzishe harakati hizo na kimada wako kwanin chama chako kimekaa kimya hakiungi mkono jambo hilo? Unajifanya mwadilifu kumbe mwizi tu kama walivyo wezi wenzio.
 
 
Wanamkomoa Magufuli.
 
Siamini kama mwanasheria Fatma anaweza kuyasema haya. Unataka kutuaminisha kuwa Fatma hajui kanuni za bima!!

Bima ina-cover kile kipindi tu ambacho bima yako bado ni hai.
Ndiyo maana nimesema inabidi ifafanuliwe...si kila mtu anauelewa kama wako mkuu. CCM wanafeli mara nyingi kutoa clarifications kwenye mambo mengi mpaka inapotokea taharuki ndiyo wanajitokeza kufafanua....vitu vidogo kama hivi vikitumiwa vizuri na ccm michango itapungua sanaa
 
Ni CCM au CHADEMA?
 
Lissu ana historia ya kuchangiwa pesa za matibabu na wananchi masikini kisha baadae akapewa na serikali na hakurudisha. Akapata pote pote. Amekosa integrity
 
Gari limekaa miaka 7 + polisi bima itoke wapi no renew by police na halikupata ajali as such. waulizwe police km waliongeza muda kutoa ni moyo siyo shuruti wacha wengine wachangie tu
Gari kukaa miaka 7 polisi sio ishu. Bima walishapewa taarifa wakati wa tukio, hujui ilo?
 
Amewageuza wafuasi wa chama chake kama wanavyofanya kina Mwamposa. Hakuna tofauti yoyote.
 
Matapeli chadema nikisema .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…