Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Huna akili wewe
 
Hata biblia na kuran vinasema
"Mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwnyw"

Hivi unadhan Mungu alikua mjinga?
Hivi unadhan kwanini hakusema mwanaume?

Huenda hata kurud alfajiri na kuzaa nje chanzo kikawa ni mwanamke mwnyw.
 
Wee Ndo huna akili kabisa
 
"MWANAUME ANAYERUDI SAA 10 ALFAJIRI"
KAWAIDA MWANAUME ANAKAA MBALI NA MWANAMKE MWENYE KELELE

Methali 21:19​

Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu.
Sahii kabisa,mi Kuna kipind nlkua na mwanamke ana makelele, na akianza makelele yake, nampotezea hata wiki ili asinivurugie mood yangu.
 
Hata ingekuwa mimi,pale hakuna mwanamke wa kunishawishi nirudi mapema nyumbani, sura hamna, tako hamna halafu unaleta ujuaji kupitiliza wallah mimi ningekuwa narudi kubadili nguo tu na kuacha kodi ya meza
🀣🀣🀣
 
Vijana wadogo humu JF ni tabu tupu. Wanakurupuka ku conclude. Kwa Mwanaume ambaye ameishaoa, hawezi kuyachukulia maanani maneno ya Fatma. Inaonesha anaanza kuzeeka na sasa anajuta kwa kujifanya mjanja akakosa ndoa.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…