Mkuu wa kitengo cha Psychological violence katika Ghayo's gang naona umerejea ,sasa kajipe posho ya wiki kwa ID ya MaghayoWewe utakuwa adriz tu ama Mufti kuku The Infinity[/USE
[/QUOTE]
Mkuu wa kitengo cha pg
🤣🤣Wewe utakuwa adriz tu ama Mufti kuku The Infinity
Ghayo's gang 😹😹🙌🙌Mkuu wa kitengo cha Psychological violence katika Ghayo's gang naona umerejea ,sasa kajipe posho ya wiki kwa ID ya Maghayo
wamefanyajeIla nyie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
indeedNi funzo kwamba binti alelewe kuwa Mke wa mtu. Vinginevyo tafrani.
Ukisikia interview yake ,alisadiki kusema Watoto wanampenda sana baba yao kuliko yeye.Bora shangazi kaweka wazi mana baadhi ya sisi wanawake huwa tunaitaka ile heshima tu huku yaliyomo humo ndoani ni mazito ambayo yanaeza epukika na maisha mengine yakaendelea fureshi kabisa.
#Mibadonimolakini. [emoji3]
Jamaaa kaupiga mwingi sanaaa[emoji1787]Kwa inavyonekana aunt alikuwa analeta ujuaji mpaka ktk ndoa [emoji38][emoji38]
Jamaa akaona ngoja ampe maelekezo how men act
Watu huwa wana angalia walipoangukia sio walipojikwaa,inawezekana huyo mwanaume alifikia hio hali baada ya kuwa mwanamke alikuwa na hizo tabia zisizoeleweka.....Hayo ni yake.
Tumeona upande mmoja hatujaona upande wa pili.
Tuletee na mumewe tusikie upande wa pili.
Nilijua tuMme wake no yule anayemiliki zile primier care pharmacy
Dr---- binafsi namjuwa vzr + maswahaiba aliyopitia kwa bi ftm
Ngoja niishie hapa
Ova
Ngoja tumstahiii [emoji1]GT senior JF counter narcotics expert please ongezea nyama kwa faida ya wengi jamvin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
MmhHahhaaaa watu mna Utani wa Jadi
Mkuu unakenua meno tu kwenye bajaj. Ngoja alteza ije ikugonge.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]