Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingi ya post zako ulikuwa unatoa hukumu ya Ile kesi mchongo ya ugaidi.Nakuletea hapa Sasa hivi
Ukweli uwa siku zote unauma, umeumia sana shangazi kupewa ukweli. Tumekatataa kujifichaficha kwako kwenye mapambano ya katiba mpya.Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Acha kumlisha manenoShangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
Fatma amejipunguzia sana heshima kidogo iliyobaki kwake,alipinga kikosi kazi na sasa amehojiwa na hicho kikosi kazi...hana msimamo,tumebaki na Maria Sarungi.Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Kapatwa na nini huyu shangazi?Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Kama Fatma anadhani watu wote kwenye mtandao wanaomkosoa ni Chadema basi tatizo liko kwake. Kwani yeye anapoikosoa CCM inamfanya kuwa Chadema? Watu wanamsema kwa sababu inaelekea amekula matapishi yake. I stand to be corrected, lakini nadhani kuna wakati alisema kuwa hana imani na kikosi kazi. Kama ni kweli alisema hivyo, ni haki watu kumsema. Hayo ya udini na uzanzibari ni mambo ya kawaida. Mbona JPM alisemwa kuwa anapendelea wasukuma na wakatoliki wenzake?
Narudia tena hii kauli yangu...
Mara nyingi Kiongozi wa Nchi akiwa Muislam huwa wakatoliki wanaleta Sana chokochoko..
Mimi sio Muislam ila hii trend nimeiona Sana ,Wakristo hasa Katoliki mna matatizo gani nyie?
Matokeo ya roho mbaya za choyo na ukatili za Wakristo waliowahi kuwa MaRais wote wamelala.
Wacha wapumue. JPM aliwapeleka mputa sana.Bavicha karibuni kwa mjadala
Hahaha......eti kunya anye kuku!
.
Nitamuelewa Shangazi siku akimkosoa Maza na Zitto.......!!Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Mkuu una point, Chadema kama chama hawajamshambulia. Angedeal na individuals na siyo chama.Chadema inahusikaje pale wajinga wanapotofautiana mitazamo.Huyo dada kama kaingiza chadema kama chama kwenye mambo aliyotofautiana na wafuasi wa chadema naye atakua mjinga tu kwasababu yeye kama mtanzania anao uhuru wakufanya jambo lolote lile mradi avunji sheria za nchi. na sidhani kama ni mwanachama wa chadema,sasa anapataje mihemko akitofautiana na watu mitazamo.Mambo mengine wala hayahitaji kua na mjadala maana yanaonyesha ujinga tulio nao.
Kama tweet yenyewe ndio hii basi nenda kaokoteze na kabumba hoja upya. Hivi nyie UVCCM, kuna neno CHADEMA humo ?Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
KWANI kaitaja CHADEMA wapi?Anatafuta kiki kupitia chadema ili apate uteuzi. Mpuuzeni.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Mmm hapana hapo kalishwa maneno na huyo HappyHapo ndio Fatma anapikosea step.
anatafuta teuziInawezekana huo udini na uzanzibar ulianza kabla ya hiyo picha.
Sikuwahi kumsikia Fatma kabla mminyo, na sasa kabadili upepo baada ya mminyo kuisha!
Inaleta maana yoyote kwako au mpo mfereji mmoja?
Fatma anajua sana kupiga supana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Mbowe amechangia kanisa analosali. Mkianza kumpima kwa hilo mtakuwa mnamuonea maana watatoka wakatoliki, waanglikana, wamethodist, wamoravian, wabahai, washia, maasta ambao nao watadai kuchangiwa. Mbona hamuwasemi wakina Zitto, Lipumba na hata Mheshimiwa Rais kwa kutochangia makanisa? Mnataka kutupeleka kubaya na hivi vipimo vyenu. Hawa wanasiasa wana dini zao na hawataacha kusali na kuchangia sehemu wanakosali.Chadema bila kusita naona kweli kuna udini hasa ukristo umetaradadi sana.Nafasi nyingi za uongozi wamejazana wao utafikuri uongozi wa kanisa wanaandaa upadiriso.Mfano m/kiti Mbowe katoka akachangiwa pesa eti hana simu wala laptop alivyoenda kwao kachangia kanisani millioni mia moja huku msikitini hajatoa hata senti tano.Chadema ikiacha udini na ukabila chaweza kuwa chama imara#namkubali sana Tundu Antipas