Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

CHADEMA ni chama cha ovyo sana. Hapa tu washaanza kuto mapovu kutukana matusi.
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Ukweli uwa siku zote unauma, umeumia sana shangazi kupewa ukweli. Tumekatataa kujifichaficha kwako kwenye mapambano ya katiba mpya.
Mhe, Mbowe hakujificha popote. Ni kweli Unasumbuliwa UDINI na uzanzibar tu. Usiloelewa ni kwamba Samia asipoleta katiba mpya na akaenda Wazanzibar wataumizwa tena na kiongozi ajae, hakuna kulia tena,
Sawa shangazi.?!
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Fatma amejipunguzia sana heshima kidogo iliyobaki kwake,alipinga kikosi kazi na sasa amehojiwa na hicho kikosi kazi...hana msimamo,tumebaki na Maria Sarungi.
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Kapatwa na nini huyu shangazi?
 
Kama Fatma anadhani watu wote kwenye mtandao wanaomkosoa ni Chadema basi tatizo liko kwake. Kwani yeye anapoikosoa CCM inamfanya kuwa Chadema? Watu wanamsema kwa sababu inaelekea amekula matapishi yake. I stand to be corrected, lakini nadhani kuna wakati alisema kuwa hana imani na kikosi kazi. Kama ni kweli alisema hivyo, ni haki watu kumsema. Hayo ya udini na uzanzibari ni mambo ya kawaida. Mbona JPM alisemwa kuwa anapendelea wasukuma na wakatoliki wenzake?
Sasa kwa nini mzanzibari asisemwe kama watu wanahisi anapendelea wazanzibari na waislamu wenzake? Hakutakiwa kuhusisha Chadema na watu wa mtandaoni wanaomtukana. Na kama ana uhakika Mnyika ndie anayefanya basi aseme.

Amandla...
 
Narudia tena hii kauli yangu...

Mara nyingi Kiongozi wa Nchi akiwa Muislam huwa wakatoliki wanaleta Sana chokochoko..

Mimi sio Muislam ila hii trend nimeiona Sana ,Wakristo hasa Katoliki mna matatizo gani nyie?

Matokeo ya roho mbaya za choyo na ukatili za Wakristo waliowahi kuwa MaRais wote wamelala.

IMG_2226.jpg

Pale mjinga ajionaye mjanja aongeapo ujinga wake mbele ya hadhara [emoji23]
 
Chadema inahusikaje pale wajinga wanapotofautiana mitazamo.Huyo dada kama kaingiza chadema kama chama kwenye mambo aliyotofautiana na wafuasi wa chadema naye atakua mjinga tu kwasababu yeye kama mtanzania anao uhuru wakufanya jambo lolote lile mradi avunji sheria za nchi. na sidhani kama ni mwanachama wa chadema,sasa anapataje mihemko akitofautiana na watu mitazamo.Mambo mengine wala hayahitaji kua na mjadala maana yanaonyesha ujinga tulio nao.
 
Nilikuwa sijapata insight info about this, but baada ya kujua chanzo cha hiyo kauli ya Fatma ni ile dhifa ya birthday aliyoandaa Sugu jana na kumkaribisha Samia, naona Fatma ame panic.

Anapeleka mambo ya siasa kwenye burudani, amefeli, Chadema kususia kazi za kikosi kazi haina maana wasusie mengine yote yatayomhusisha Rais, huu ni utoto toka kwa Fatma Karume.
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Nitamuelewa Shangazi siku akimkosoa Maza na Zitto.......!!

Shangazi yuko sawa na asilimia kuwa ya binadamu.... Familia kwanza, then ukoo, dini/kabila, Nchi ukanda... That's how it works.

Ana point kwenye utoaji wa maoni kwenye Tume kazi ya Mkandala ila kuna walakini mkubwa.
 
Chadema inahusikaje pale wajinga wanapotofautiana mitazamo.Huyo dada kama kaingiza chadema kama chama kwenye mambo aliyotofautiana na wafuasi wa chadema naye atakua mjinga tu kwasababu yeye kama mtanzania anao uhuru wakufanya jambo lolote lile mradi avunji sheria za nchi. na sidhani kama ni mwanachama wa chadema,sasa anapataje mihemko akitofautiana na watu mitazamo.Mambo mengine wala hayahitaji kua na mjadala maana yanaonyesha ujinga tulio nao.
Mkuu una point, Chadema kama chama hawajamshambulia. Angedeal na individuals na siyo chama.

Mbowe hajawahi kucomment ujuaji wake kule Maria spaces. In my opinion she's naive, way more than I thought.
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Kama tweet yenyewe ndio hii basi nenda kaokoteze na kabumba hoja upya. Hivi nyie UVCCM, kuna neno CHADEMA humo ?
 
Inawezekana huo udini na uzanzibar ulianza kabla ya hiyo picha.

Sikuwahi kumsikia Fatma kabla mminyo, na sasa kabadili upepo baada ya mminyo kuisha!

Inaleta maana yoyote kwako au mpo mfereji mmoja?
anatafuta teuzi
 
Chadema bila kusita naona kweli kuna udini hasa ukristo umetaradadi sana.Nafasi nyingi za uongozi wamejazana wao utafikuri uongozi wa kanisa wanaandaa upadiriso.Mfano m/kiti Mbowe katoka akachangiwa pesa eti hana simu wala laptop alivyoenda kwao kachangia kanisani millioni mia moja huku msikitini hajatoa hata senti tano.Chadema ikiacha udini na ukabila chaweza kuwa chama imara#namkubali sana Tundu Antipas
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Fatma anajua sana kupiga supana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chadema bila kusita naona kweli kuna udini hasa ukristo umetaradadi sana.Nafasi nyingi za uongozi wamejazana wao utafikuri uongozi wa kanisa wanaandaa upadiriso.Mfano m/kiti Mbowe katoka akachangiwa pesa eti hana simu wala laptop alivyoenda kwao kachangia kanisani millioni mia moja huku msikitini hajatoa hata senti tano.Chadema ikiacha udini na ukabila chaweza kuwa chama imara#namkubali sana Tundu Antipas
Mbowe amechangia kanisa analosali. Mkianza kumpima kwa hilo mtakuwa mnamuonea maana watatoka wakatoliki, waanglikana, wamethodist, wamoravian, wabahai, washia, maasta ambao nao watadai kuchangiwa. Mbona hamuwasemi wakina Zitto, Lipumba na hata Mheshimiwa Rais kwa kutochangia makanisa? Mnataka kutupeleka kubaya na hivi vipimo vyenu. Hawa wanasiasa wana dini zao na hawataacha kusali na kuchangia sehemu wanakosali.

Amandla....
 
Back
Top Bottom