wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Kama unamjua baba mzazi wa Mbowe huwezi kusema kuwa kwa kauli hiyo Mbowe kakosea. Ndiyo waasisi wa jezi za timu ya Yanga hao.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Kwani huyu Dada hajachanjwa bado?!!"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar.
Watanzania wote tupewe chanjo ili kudhibiti maambukizi.
M/Mungu akuweke Abubakar Mbowe.
Mwambie huyo Mbowe wako kama anataka kudhibiti maambukizi aachane na vikongamano uchwara vya maigizo yenu ya katiba anavyohamasisha kufanyika kila sikuVipi kwenye kudhiti maambuzi. Mbowe anaposema iwe lazima anaamanisha , tuchanjwe tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelelee.
Kama chanjo itapatikana
Hakuna chanjo ya lazima Mkuu. Elewa hivyo.Siyo usukule, ni common sense tu
Nchi ikifikia point tuko hatarini hadi kwenye stage ya survival, watu watalazimishwa tu wachanjwe watake wasitake. Siombei tufike huko!
Uingereza imefungulia kila kitu!Siyo usukule, ni common sense tu
Nchi ikifikia point tuko hatarini hadi kwenye stage ya survival, watu watalazimishwa tu wachanjwe watake wasitake. Siombei tufike huko!
Wewe ndio mke wa Mwigulu?Tatizo lako Shonza ni kupita na waume za waume, afu ujue mwigulu kaoa, na ana bahati mbaya ya kufumaniwa kama mwenzake chawene, wote hawa walifumaniwa singida kwa nyakati tofauti, we endelea nae tu mkewe akikukamata
Tumewahi kuwa na chanjo za lazima utotoni huko zamani, hilo wala siyo jambo jipyaHakuna chanjo ya lazima Mkuu. Elewa hivyo.
Halafu watu hawafanani kinga. Kuna watu dunia hii, hii hata UKIMWI ni kama mafua tu na kuna wanakufa kwa Mafua tu...
Hujui chochote kuhusu chanjo Mkuu. You better stick with politics.Tumewahi kuwa na chanjo za lazima utotoni huko zamani, hilo wala siyo jambo jipya
Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.
Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike? Watu wamechomwa hizo chanjo na bado wamepata maambukizi hujiulizi? Marekani wamewachanja watu wao na bado maambukizi yameongezeka. Mwendawazimu mkubwa weee?
Form six ya zamani sana, ambayo kwa sasa ni kama Phd mbili hiviHivi Mbowe alisoma mpaka darasa la ngapi??
Kwa nini chanjo ya surua pamoja na pepopunda iwe lazima halafu hii iwe siyo lazima?Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Makengeza Mbowe alipata ZERO Ihungo. Sasa hivi anafanya kazi ya kuchunga mifugo 👇👇Form six ya zamani sana, ambayo kwa sasa ni kama Phd mbili hivi
Niliwahi kusema huku mboe ni dikteta na akipewa nchi tumekwisha"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
NDIYO UMWAMBIE DJ WENU ANAROPOKAROPOKA TU KISA KALA ZA MABEBERU"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
MBOWE FORM FOR ZERO MWIGULI NI PHD HOLDER UNAONA GAPE LILILOPO YAANI NI MBAHGALA TO LONDON
Hakuna wapi? Kama unazungumzia dunia nzima, chanjo za lazima zipo na zinafuata maadili ya kitabibu ipasavyo.Hakuna chanjo ya lazima Mkuu. Elewa hivyo.
Halafu watu hawafanani kinga. Kuna watu dunia hii, hii hata UKIMWI ni kama mafua tu na kuna wanakufa kwa Mafua tu.
Mimi sipingi chanjo, na kwa sehemu nilipo nadhani nitachanjwa ila sioni ulazima wowote wa kuchanja kila mtu.
Kwanza sidhani kama kila nchi imefanya hivyo.
Pili, nchi hii ina watu karibia 60M lakini serikali imeagiza chanjo 300,000 tu. Ukitoa zitakazoharibika maana miundombinu yetu tunaijua wenyewe.
Mambo mengine yote yatakwama kama nchi itaagiza chanjo za watu 60M.
Hiyo ni akili ya kawaida tu.