🤣🤣🤣 Kwahiyo makengeza Mbowe ndio tabibu na mtafiti wako.Hakuna wapi? Kama unazungumzia dunia nzima, chanjo za lazima zipo na zinafuata maadili ya kitabibu ipasavyo.
Ni suala la kufanya tafiti za kutosha tu.
NANI WA KUMPA IKULU MTU MWENYE TAMAA MPAKA ANAFUATA MATAKWA YA MABEBERU?Mbowe angekua Rais, ikulu ingehamia Machame trust me.
Mbwa weweChadema na Mbowe wote ni wapumbavu, wewe kama unataka chanjo bc tuliza hilo wezere subiri hy chanjo na sio kusema ni lazima.
Na MaCCM wanaozunguka nchi nzima wale waliocha ndio zao Mombasa katibu mkuu wake, na wale wa Mwenge kusambaza Corona na UKIMWI..?!Mwambie huyo Mbowe wako kama anataka kudhibiti maambukizi aachane na vikongamano uchwara vya maigizo yenu ya katiba anavyohamasisha kufanyika kila siku
Corona ipo nyingi Mwanza ,kama chanjo ipo tuchanjwe ili maisha yaendelee.Mwanza kunawachawi
CHalamila aliropoka waziwazi nisawa MTU afunge goli flani ukimuliza atakwambia hatasijui nilipgaje Mpira au ajali mbaya ukimuuluza umetokaje hapa atakwambia sijui
Mbowe karopoka
Hiyo ndo mwanza bwana
Mimi mwenyewe namshangaa anaongea kwa shuruti kama nani serikalini?Suala la Covid 19 limeathiri watu. Nakubaliana nawe. Lakini si kiasi unachotaka kuuaminisha Umma. Inawezekana wewe na ndugu zako mmeugua na umepoteza ndugu. Pole sana.
Lakini huwezi kuwa sahihi kuwa CHANJO YA CORONA IWE NI SHURUTI. Hamna kitu kama hicho. Mbona sasa hapo utakuwa unakiuka haki za Binadamu?
Haya mambo usiyaongee kwa mihemko au hisia. Inawezekana umeathirika na Corona lakini usichukulie jambo hili kwa pupa,jazba na hisia. Chanjo ya Corona si Lazima na isiwe Lazima. Binafsi siihitaji kwa sasa.
makengeza Mbowe yukp sahihi siku zote 🤣🤣🤣Mbowe yupo sahihi, ni vile umeambukizwa uwandawazimu uwezi elewa.
ili maisha yaendelee lazima tuchanjwe ili kudhibiti maambukizi.
Kama chanjo itapatikana ya kutosha , maana MaCCM na bi, Chokochoko wenu ni waongo waongo mno.
Serikali ijikite kuelimisha wananchi.Si tu kuwa haipo ya kutosha bali chanjo yenyewe haipo na uwezekano wa kupatikana kwake labda ni hadi Desemba.
Ukirejea kwenye ujinga uliopo, bila jitihada ya kutosha kwa kiwango cha ujinga uliopo hata hiyo kidogo inayoweza kupatikana kwa hali iliyopo inaweza kuwa nyingi mno na hata kubaki kwa kukosa wachanjwaji.
Hapo ndipo uyaone maajabu ya mtu kumwuuma mbwa!
Sasa kutakua na maana gani ya kudhibiti maambukizi kama kuna watu watasambaza Corona kwa kua tu hawataki chanjo. Na Serikali ya namna gani hiyo itaruhusu hayo.Mimi nilishachanja tangu March.
Ukikutana na mtu hataki chanjo anasema yeye yuko tayari kufa, utamlazimisha achanje kinyume na matakwa yake?
Huyo naye ni wakala wa hao wajamaa wa wenye dawa. Yaani yeye press conference yake yeyote ni lazima aongelee chanjo..Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Siringii elimu, lakini ukweli ni kwamba mwenyekiti wenu hana elimu ndio maana upeo ni mdogo wa kukurupuka namna hiyo. ndio mnataka tuwape ma DJ wacheze disco nchi?Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mwambieni waanze kwanza kamati kuu ya chadema, pia na wajumbe wote wa mkutano mkuu wa chadema! Baada ya hapo wachanjwe mashabiki wao wote, akiwemo na gentamycine.Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje