Watu wanawachukulia poa sana TPDF,Hawa ni Monsters,ni Sheria TU,miibgozi na kanuni ndio zinawqpunguza nguvu,lkn wakiliamsha dude,watu watatamani kujificha kwenye vikombe vya kahawa.Kawachokonoa sana JW wameona wamtoe bikra, sasa wataanza kutembea kwa makundi kuogopa kupigwa paipu. Watu wana hasira hata IGP akijichanganya watamla vilevile, ishakuwa noma.
Tuone kama CDF ataweza kuwapoza wahuni ndani ya JW waliomua kufanya noma.
Alisikika akisemaIla jamaa ni kama alikuwa ameanza zile pigo za kuwadhalilisha JW.. na maneno ya kejeli kisa tu ana connection na wakubwa...
Alijisahau na kujaa sifa..
Ajabu sana Kwa kweliInashangaza kwa mhalifu kama Mafwele naye kuwa na kundi la kumtetea humu JF!
Ni kweli...Alisikika akisema
"tunawashikilia wanajeshi wawili walichana picha ya mgombea wa chama tawala kabisa yaani,halafu yule mhuni cpt Tesha kakimbia nchi"
shetani hajawai kosa wafuasi mkuuAjabu sana Kwa kweli
Unafikiri Mafwele akiuliwa basi ndo watu hawatatekwa na kuulizwa Tena?Guys hebu tujifunze kuangalia ukali wa adhabu.
Mtu kaua watu zaidi ya 500 katika vipindi tofauti tofauti vya zaidi ya miaka 15
Then unamkamata siku 1 unampiga risasi ya kichwa anakufa, then what??
Unakuwa umefanya nini hapo kuonesha hiyo adhabu uliyompa inaendana na vifo vya wale watu 500 aliowaua?
Hivi unafikiri kwanini mlst wanted waliofanya maovu makubwa ambayo wanajua mwisho wao ni kifungo cha maisha gerezani au kuhukumiwa kunyongwa wakisha kosa option ya kujificha huishia kujiua?
Kwanini unafikiri wanajiua? Ni kwasababu kifo ni painless kulipo mateso.
Ishu ya kifo naweza kuafikiana na nyie ikiwa hakuna option nyingine, lakini kama watu wanaeza kuruka naye kama hivyo wakakaa naye chaka siku mbili 3 wakamfanyia undava basi hii ni adhabu tosha.
Wengine walisema amechizika nikachinja jogoo langu πBro acha kuwapa watu furaha halafu baadae wakamuona Mafwele Ofisini anadunda ,isije ikawa kama yule aliesema Bi Msumi shwaa,baadae akaonekana anapokea hayo za Mabalozi.
Watu wakanywea .
ππππππ huogopiiii???πΉπΉπΉπΉ Connection muhimu, jioni muda wa kufungua swaumu tunaanza kucheck miuno ya Mafwele
πππππ kwamba unapenda kuona sana hilo tendo eeeh??Bila video siamini kama Mafwele wame-mCOCASTIC.
Nyumbu huwa akili zenu hamna kazi nazo kabisa, kauli mbiu yenu nyumbu ni marufuku kutafakari chochote kwa kutumia akili zenu chochote utakachoambiwa utatakiwa kushangilia bila kufikiri.Agustino arushe connection mambo kwa ushahidi..!!
Unamuonea wivu Mafwele ulitamani ungebakwa wewe..!!Nyumbu huwa akili zenu hamna kazi nazo kabisa, kauli mbiu yenu nyumbu ni marufuku kutafakari chochote kwa kutumia akili zenu chochote utakachoambiwa utatakiwa kushangilia bila kufikiri.
Mmebaki mitandaoni kama nyumbu akili zenu mmezifungia kabatini mnatumia akili za Mange, Huyo Chizi Agustino na Maria sarungi
Tuogope nini sasa wakati sisi wapenzi watazamaji..!! πΉπΉπΉππππππ huogopiiii???
Nilikwenda Ukraine mwaka 95 masomoni nikarudi bongo 2003.It cannot. Mtu mwenye exposure upeo wake hauwezi kuwa mdogo kama wako.