Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Naona ni kama mambo ya Morrison tuu haya baada ya muda unaona yupo Yanga tena...nishafatilia hizo mambo toka Hamis Gaga mpaka leo huyu najua watakakoishia...Je ni wangapi wataitaji huruma kama iyo ikiwa utaratibu haufuatwi?
Kwa mshahara upi aliokuwa anaupata Yanga?Huu ni utapeli. Hana mshahara? Hana endorsements?
Nani kakudanganya?Hapo CAS wanataka 50+m tu,inayobaki anaendelea kula ugali na sukari.
Dogo igizo lake alichemka kutengeneza scripts mwanzoni,sasa hivi anajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake.
Dj walete Kolo FC wamchangie.
Yanga ni Taasisi ila wangeachana na hii ishu ya Faisal wamwambie aendelee na maisha yake amekosea ila sio kipindi cha kukomoana dogo alikosea na hajui kuwa kakosea waachane nae kuliko hizo mambo zinakokwenda...
Yanga 4m na anafanya matangazo na tiGO mtoto wa kishua........ inamaana hana milioni 55 za Cas?Kwa mshahara upi aliokuwa anaupata Yanga?
Kwamba mshahara wa milioni 4 kwa mwezi ni ndogo? Halafu unakuta mtu anayeongea hayo mshahara wake amezidiwa na Feisal zaidi ya mara mbili.Kwa mshahara upi aliokuwa anaupata Yanga?
Kuna gharama zipi wakati zinafanyika online gharama Bundle.Nani kakudanganya?
Kwa hiyo pesa labda kama umeongelea endapo Yanga watakubali kutoa.
Lakini since Yanga hana maslahi kwenye hii case hivyo hawezi kutoa hiyo hela. Badala yake Feisali inatakiwa awalipie Yanga ambapo ni jumla ya dola 40,000 kwa ajili ya kufungia kesi.
Bado kuna gharama nyingine za ziada kwa ajili ya kuendeshea kesi
Kuna wengi wenye uhitaji wa kusaidiwa Ila sio kwa upuuzi huu...ni Bora kusaidia wagonjwa kuliko hiki kiburi, yani kimeshindwa kusema samahani wakamaliza Mambo kinataka kuchangiwa? Upuuzi mtupu na sijui anajiona naniBaada ya Club ya Yanga kumuandikia barua ya wito Feisal Salum iliyoambatana na mashtaka dhidi yake mchezaji huyo amejitokeza, na kueleza wazi kuwa atapeleka kesi yake CAS kwani amenyimwa haki yake ya kuvunja mkataba na TFF!
Ameomba achangiwe na wote wenye mapenzi mema ili aweze kupata fedha kwa ajili ya kufungua kesi, mawakili wake watafanya kazi bure!
Kwa yeyote mwenye chochote anaweza kumsaidia kupitia Lipa namba 5406394 Feisal Salum.
Haya sasa huu mtanange nani mshindi huko CAS…!? Yetu macho cha msingi tumpe dogo mpunga!
Mkataba siyo glass kwamba unavunjika tu kirahisi......Sasa yanga inamng'ang'nia nini kama hataki kucheza? Wavunje tu mkataba kijana wa watu akacheze kwingine
Bange ni mbaya sana.Baada ya Club ya Yanga kumuandikia barua ya wito Feisal Salum iliyoambatana na mashtaka dhidi yake mchezaji huyo amejitokeza, na kueleza wazi kuwa atapeleka kesi yake CAS kwani amenyimwa haki yake ya kuvunja mkataba na TFF!
Ameomba achangiwe na wote wenye mapenzi mema ili aweze kupata fedha kwa ajili ya kufungua kesi, mawakili wake watafanya kazi bure!
Kwa yeyote mwenye chochote anaweza kumsaidia kupitia Lipa namba 5406394 Feisal Salum.
Haya sasa huu mtanange nani mshindi huko CAS…!? Yetu macho cha msingi tumpe dogo mpunga!