Feisal penalty/fidia ya kutokutumikia mkataba inamsubiria

Ile million 100 aliyoweka kwenye account ya Yanga si aipeleke CAS kama ana uhakika atashinda
 
Ebu kwanza tuambie Tff ndiyo imemuajiri fei? Fei alisign mkataba na nani? Je kuna vipengele vilivyovunjwa vya kimkataba kwa fei mpaka tff ivunje mkataba wa fei? Kama vipo vitaje, Nijibu kwanza ayo maswali alafu tuendelee
 
Kwaiyo fei alisign mkataba wa upande mmoja na ndio maana kavunja peke yake au sio bwana mwanasheria?
 
Tanzania pekee ndio chama cha mpira kina haki ya kuvunja mkataba, ila huko duniani ni mchezaji ndio anavunja mkataba
Mnaingia king kwa vitu hamjui Feisal anataka TFF wavunje mkataba wakati hawana mamlaka kumbe huelewi nn kinacho endelea una payuka tu
 
Ni utaratibu upi ameufata tuambie? Ameenda kuzungumza na waajiri wake? Au utaratibu unaosema ni wa kuwataka tff wavunje mkataba wake na yanga?
 
Ebu kwanza tuambie Tff ndiyo imemuajiri fei? Fei alisign mkataba na nani? Je kuna vipengele vilivyovunjwa vya kimkataba kwa fei mpaka tff ivunje mkataba wa fei? Kama vipo vitaje, Nijibu kwanza ayo maswali alafu tuendelee
Vijana wa hivi ni hasara kwa Taifa
 
Hajalazimishwa alisaini mkataba.
 
Yanga haikuwahi kumuita mezani Feisali kwa lengo la kuvunja mkataba
 
Na wewe kuna wakati uwe unafikiri kabla ya kuandika. Kwa akili yako unaona ni sahihi huyo Dogo kwenda TFF kuomba mkataba wake na Yanga uvunjwe?

Yaani mkataba ameingia na Yanga! Halafu TFF ndiyo wauvunje! Inakuja akilini kweli? Kwa nini asiende kukaa meza moja na Yanga, ambaye ndiyo aliyeingia nao mkataba; kufikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja huo mkataba waliongia?
 
Tatizo wengi mnaongelea speculations wakati mimi natumia references za CAS.

Nimeweka huko juu nukuunya kifungu ambacho kinazungumzia mkataba kuvunjika katika namna zote mbili, (with cause & without cause)

Kama mkataba umepitia njia isiyo ya halali lazima uvunijike ila upande uliovunja sheria lazima uwajibike.

Sasa nyinyi wengi mnakubali kuwa Feisali alivunja mkataba bila kufuata utaratibu ila ambacho mnashindwa kujua ni kwamba jaribio lolote la kuvunja mkataba moja kwa moja litakuwa limevunja mkataba
 
Hii ni pumba
Yanga wamekuambia wana haja ya kuvunja mkataba mpaka wamuite
Feisal ndo anataka kuvunja mkataba na sio yanga
Sasa hii ulitakiwa umuandikie shabiki mwenzako ambaye alidhani Yanga walimuita Feisali kwa lengo la kuvunja mkataba
 
Ebu kwanza tuambie Tff ndiyo imemuajiri fei? Fei alisign mkataba na nani? Je kuna vipengele vilivyovunjwa vya kimkataba kwa fei mpaka tff ivunje mkataba wa fei? Kama vipo vitaje, Nijibu kwanza ayo maswali alafu tuendelee
Post zilizopita nimeelezea hilo, rudi nyuma usome
 
Ni utaratibu upi ameufata tuambie? Ameenda kuzungumza na waajiri wake? Au utaratibu unaosema ni wa kuwataka tff wavunje mkataba wake na yanga?
Hivi mpaka ukamuelewa mtu anatakiwa akuambie mara ngapi?
 
Ona hii Bush lawyer inavyotaka kujifanya ni Wakili Msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…