Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Exact Kuna wanaume humo Hawajui thamani za mama zao Ndo maaana sijui na Ndo wake zao wanawashika masikio kutukana mama zao wanaona kawaidaa TU
Na ndo wanaita mama zao wachawi hawa
 
haaaa....eti alitoa pasi kwa Mayele akakosa goli akaambiwa anauza mechi...[emoji2][emoji2][emoji2]
Utoto huu
Kipanya amemwambia Fei kuna jambo halisemi ili kumsitiri kiongozi wa Yanga. Msimamo wa Fei ni mkubwa mno kwa manyanyaso ya kawaida. Kama hakuna timu inamtaka basi kuna jambo Fei kaamua kutokulisema maana kapelekwa hadi kwa mashekhe, kapewa ofa ya m30 ila kagoma. Wakili wake anasema hakuna timu inataka mchezaji mwenye mgogoro hivyo Fei anajua kashikilia makali lakini kaamua kuyashika hivyo hivyo.
 
Kwanini isiwezekane? Kwani Malaika?

Huyu si aliita mashabiki wa Yanga wala mihogo, huyu si aliwapigia Video call Kisinda na Razak wakiwa Berkane kuwa wakija Dar atawasaidia kuwapa mbinu ya Simba.
Ina uhusiano gani na kumtukana mzazi?!
 
Afu Wana roho mbaya saña
 
Nimeandika hapo afanye bidii amuone GSM.
Kama unaweza kuwasiliana nae ebu msaidieni huyu dogo anapotea kakubari kua tambara la deki. Club imesha sema kwa maandishi kua kama anaondoka club zifike mezani ziweke bids basi hawawezi kataa offa zitakazo kuja.
 
Feisal kanifundisha kitu kimoja, ni muhimu sana kujua kuongea. Kijana hayuko vizuri kwenye kuzungumza, hafahamu nini cha kuzungumza na kipi asizungumze
 
Nawaambia kuna kitu kizito Fei anakificha kukisema nadhani ni cha aibu na hakina uthibitisho....so ngoja tuone kuna siku mambo yatakua hadharani.
 
Hakuna tajiri mwenye roho nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…