cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan kaja km upepooo lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi kaja kwa speed...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan kaja km upepooo lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi kaja kwa speed...
Mwaka huu utakua mwehuSiku zote humu tumasema Yanga ni wahuni watu wanatuona kama tuna spread chuki
Exact Kuna wanaume humo Hawajui thamani za mama zao Ndo maaana sijui na Ndo wake zao wanawashika masikio kutukana mama zao wanaona kawaidaa TUSo ukidhalilishiwa mama Yako saivi uitiwe wewe njoo hapa kwanini umechelewa ndio maana mama Yako ni mavi maana wewe ni mdogo bado unakaa hapo ukiwa mkubwa unakaa tu maana wewe ni upo yanga hivi ukionewa hela haiji Kwa wakati unatishiwa maisha,unateswa hupewi mahitaji unakaa tu unatukaniwa familia unakaa tu . Wewe ni wale ambao mke anamtusi na kumvua mama Yako nguo hujali walahuumii
Hujaona alicho kisema kuhusu GSM? hebu karudi kumsoma upyaa.Nimeandika hapo afanye bidii amuone GSM.
Kipanya amemwambia Fei kuna jambo halisemi ili kumsitiri kiongozi wa Yanga. Msimamo wa Fei ni mkubwa mno kwa manyanyaso ya kawaida. Kama hakuna timu inamtaka basi kuna jambo Fei kaamua kutokulisema maana kapelekwa hadi kwa mashekhe, kapewa ofa ya m30 ila kagoma. Wakili wake anasema hakuna timu inataka mchezaji mwenye mgogoro hivyo Fei anajua kashikilia makali lakini kaamua kuyashika hivyo hivyo.haaaa....eti alitoa pasi kwa Mayele akakosa goli akaambiwa anauza mechi...[emoji2][emoji2][emoji2]
Utoto huu
Mi nahisi pia something behind bars!!Maelezo ya Fei umesoma lakini?? Kuna kitu mie nimekionaa hapa ndo kinacholeta huu mgogoro
Ina uhusiano gani na kumtukana mzazi?!Kwanini isiwezekane? Kwani Malaika?
Huyu si aliita mashabiki wa Yanga wala mihogo, huyu si aliwapigia Video call Kisinda na Razak wakiwa Berkane kuwa wakija Dar atawasaidia kuwapa mbinu ya Simba.
Kigeugeu sana, wakati sakata linaanza alikuwa anasema maslahi dunia ukilinganisha na mastaa wengine. Leo kabadili gia angani eti Hersi.Wazanzibari bwana😂
Afu Wana roho mbaya sañaNi mara ngapi yanga imeshtakiwa na makocha na wachezaji Kwa kutofuata mkataba uliosainiwa? Unatanguliza ushabiki badala ya kutumia akili.
Samatta aliwahi kuwagomea Simba Kwa kutotekelza mkataba kama ulivyotaka. Klabu za kariakoo hasa Yanga sio ya kuiwekea dhamana.
Yaan hadi wanashangazaa kwa kweli.Wapuuzi mashabiki WA uto
Kama unaweza kuwasiliana nae ebu msaidieni huyu dogo anapotea kakubari kua tambara la deki. Club imesha sema kwa maandishi kua kama anaondoka club zifike mezani ziweke bids basi hawawezi kataa offa zitakazo kuja.Nimeandika hapo afanye bidii amuone GSM.
Inawezekana.Something huuuge behind curtains
HaswaaaahMi nahisi pia something behind bars!!
Sasa kama Feisal hajui kusoma mkataba anasimamiwa na mtu hajui kusoma mkataba kinacho kuja kutokea ni nini?Kwani ww ndo unapangia mtu nani amsimamie kwny mambo yake?? Kijana wa kichaga wa darasa la 7 ana uwezo wa kusimamia biashara kuliko wa masters ya biashara..
Hakuna tajiri mwenye roho nzuriBongo ubabaishaji ni mkubwa sana .amini usiamini ukisikia mchezaji kapewa Milion 50 sijui ngapi .ujue kabisa ni uongo ni katika kupamba tu hayo magazeti Huwa yanapozwa yaongeze sifuri mbili kweli .
Wachezaji WA kitanzania Huwa wanapewa mwisho Milion 10 signing fees.
Magezeti sasa ndio mlipuko sio WA kawaida
Hata hiyo Milion 4 tunayosikia alikuwa akilipwa pia usikute sio kweli
Mshahara usikute ni laki 7 tu .
Bongo nyoso
Kama ni kweli feisal hiki ndicho kukuta basi nipo radhi kukuchangia uende cas
Yanga Kuna watu Wana roho mbaya sana ila kucha kutwa kuvaaa kanzu nyeupe kujifanya watu safi.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Huyu dogo mna m dis kwa sababu ya ushabiki lkn dogo ana point. Kuna vitu amepitia lkn kwa sababu mnafikiria kishabiki hamuwez kumuelewa